UKAWA wanafanya Press conference muda huu

UKAWA wanafanya Press conference muda huu

Any updates kuhusu mgombea uraisi na mwenza kupitia UKAWA atatokea chama gani.......

Mgombea mwenza wa UKAWA atatoka chama kimoja na mgombea Urais wa UKAWA!

Hilo ni takwa la katiba ya JMT ya 1977
 
Kila heri viongozi wetu wa Ukawa .raisi ajaye tunatambua atatoka ndani ya Ukawa.
 
Hahahahahaaaaaaaaaa! Naona sasa ukawa wamechanganyikiwa. Ukiona wanatumia nguvu nyingi kukanusha uvumi wa kwenye media basi ujue wamenaswa
 
Nashauri UKAWA uraisi wampatie Prof. Lipumba, ushirikiano utakuwa wa dhati.
 
Haiwezekani huu muungano wa vyama. Wote hapo ni wasanii.mara mbatia ataka kujitoa. Mara nld wapewa majimbo 2 . hapo wameona wazuge zuge ili wagawanyike kila mtu apate sababu. Ninaamini hao viongozi wamesha hogwa na maccm . sisi wananchi tunawaasubili waje kama timu(ukwa)kikija kichama kimoja kimoja wapigwe. Watakuwa wameonyesha uloho, ubinafsi, uchu wa madaka,
 
Hahahahahaaaaaaaaaa! Naona sasa ukawa wamechanganyikiwa. Ukiona wanatumia nguvu nyingi kukanusha uvumi wa kwenye media basi ujue wamenaswa

uvumi wa kwenye media, wakati ndio mnaoushadadia na jana mmeshinda hapa mtandaoni mnatiana moyo?
 
Ulivyokurupuka utafikiri umekalia kigogo... Mambo ya UKAWA unakuhusu nini? endeleeni na Association of Criminals in Tanzania ... Crime Rates itaendelea kuwa juu hadi baada ya Uchaguzi Mkuu! Hilo tunalitambua maana ESCROW haikuwatosha ... UKAWA ndo suluhisho la Umasikini kwa Watanzania waliochoka kupuuzwa, kunyanyaswa na kudharauliwa Huku Rasilimali zao zikitapanywa hovyo ....

Act= maana yake ndio hyo basi umetisha!!!!
 
Back
Top Bottom