Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,591
- 123,084
mbowe ni nani mpaka awe na imani na tume ya uchaguzi? sisi wananchi ndio tunatakiwa kusema kua hatunaimani na tume kwasababu kura tume wanazohesabu sio za mbowe wala ccm ni zakwetu wananchi na kwanini mbowe anatishia tishia nchi kitoto hivi?serikali ipo wapi?????
Kwani Mbowe sio mwananchi? Na unafikiri Mbowe hapigi kura? Serekali unayotaka imtishie Mbowe ndio hiyo hiyo imeshindwa kutaja majina ya watu waliochukua fedha za Escrow katika bank ya Stanbic kwa marumbesa kinyume na sheria za nchi na bado haijawataja.