UKAWA wanafanya Press conference muda huu

UKAWA wanafanya Press conference muda huu

Mbatia: Tuko pamoja tunaendelea vizuri ndani ya UKAWA hakuna mgogoro wala mgongano -

Mbowe: Hatuna imani na tume ya uchaguzi kutushawishi kuwa ina nia njema na uchaguzi wa mwaka huu. Imekuwa na usiri mkubwa wa kiutendaji

Mbowe: Itafanya mikakati kwa hila kuisaidia ccm, kwa hatua ya sasa mwenyekiti wa tume hastahili kuwa ofisini ana cheza na amani ya nchi .

Mbowe: Mpaka sasa haijatoa ratiba ya kuandikisha kwenye vituo vyote, haijulikani mpaka sasa uandikishaji unaishia lini.

Mbowe: Wale wanao piga ramli kuwa ukawa itavunjika watasubiri sana! Hauvunjiki.

Mzee Makaidi: CCM hawana mgombea wote majanga! Ukimuweka huyu EPA, mwingine Escrow, mwingine Kagoda! Wote majanga
===================


How is all that was said in above summary going to help common mwananchi? Is this the best the top guns in UKAWA can come up to, when 47 million Tanzanians are looking for CCM alternatives?couldn't they put all this in other matters folder,and focus on the big agendas that touches millions of poor Tanzanians?

is it time for political activism when people are looking for leaders? you have complained already, well and good, what is your solution as the opposition leaders?
 
Kimweri; Kwani wewe ulitaka wasemeje kwa hiyo jana? Acha kuficha udhaifu wa hoja zako kwa lugha ya watu wengine wewe!!
 
Back
Top Bottom