UKAWA wamsusia Magufuli

Tunapoelekea ukawa watagoma hata kulala na wake zao kisa Rais ni dikteta. Mkisusa sisi twalaaaa
 

Nini maana ya dikteta? Nielewesheni

Hili neno "DICTATOR" lafaa kupigwa marufuku hapa jukwaani. Hatuwezi kuendelea kumdhihaki rais kiasi hiki.

Hivi uchwara maana yake nini maana nataka kuunganisha na neno dikteta ili nipate maana kamili

Dikteta uchwara kazini

Dikteta uchwara

Huyo anayedhani kuwa ni Dictator Uchwara aje mahakamani na apinge kuwa yeye sio Dictator Uchwara!


Uchwara maana yake si halisi yaani ya kubumba

Aliyesema raisi dictator ni nani?? Mbona mnajishtukia

Ulizoea kula vya dezo sasa vimebanwa ndio unamuita dictator

Kwani neno hilo linahusiana vipi na Rais?



Kwa hiyo dikteta uchwara maana yake ni kuwa sio dikteta halisi, kwa hiyo sio tusi

Acha mambo ya ajabu ww!! Kwahiyo Magufuli ni dikteta wa kwanza hapa Duniani?
Au yy ndie muanzilishi wa hili neno?

Hilo neno siyo dhihaka, bali ni hulka ya mh mtukufu rais wetu


Kwani nani kamuita dictator?! Labda wewe kwa sasa ndio umemuita dectator.


Umelikosea heshima, sema dikteta uchwara
Nini maana ya dikteta uchwara?
 
Hata kwenye misiba vile vile wala hatutakwenda na nyie yetu msije vile vile!!!
 
Upinzani wa Bongo unaendeshwa na watu wenye akili nyepesi sana.Wengi hawana uelewa mpana, wana akili za harakati km za mashuleni na vyuoni.Hamna akilı wala oganaizesheni ya kueleweka kimuundo wala kisera.Ovyo kabsa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…