Nilishawahi kusema kuwa CHADEMA wana bahati ya kupendwa ila hawana jipya la kuwafanyia wananchi. Tutarajie yaliyotokea ya jiji la Mwanza 2015 kutokea pia Dar 2020.Ushindi waliopata UKAWA katika jiji la Dar es salaam kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2015 walipaswa kuwa makini kumpata aina ya mtu anaeweza kuubeba ushindi ule ili kuwa Meya.
Meya aliyepo kwa sasa hatoi taswira kama jiji hili lilipiga kura nyingi kwa UKAWA hivyo wananchi wake kuonja matunda ya kuwa chini ya UKAWA.
Meya mipango yake haifahamiki.
Meya hajulikani anafanya kazi zipi.
Meya hafahamiki anasimamia nini.
Wakati mwingine mtu apewe nafasi fulani kwa mkakati maalumu.
Kwa hiyo mikakati utekerezaji wake ni OFISINI tu NA SI KWA WANANCHI????Acha majungu ...si uende ofisini kwake pale Karimjee Hall akupe mikakati
UKAWA wakiweza kuliongoza vyema jiji la Dar, nina uhakika imani ya wapiga kura itaongezeka mara dufu. nakubaliana na wewe kwa kweli wanahitajika kujipanga kwa upya.Ushindi waliopata UKAWA katika jiji la Dar es salaam kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2015 walipaswa kuwa makini kumpata aina ya mtu anaeweza kuubeba ushindi ule ili kuwa Meya.
Meya aliyepo kwa sasa hatoi taswira kama jiji hili lilipiga kura nyingi kwa UKAWA hivyo wananchi wake kuonja matunda ya kuwa chini ya UKAWA.
Meya mipango yake haifahamiki.
Meya hajulikani anafanya kazi zipi.
Meya hafahamiki anasimamia nini.
Wakati mwingine mtu apewe nafasi fulani kwa mkakati maalumu.
Ushindi waliopata UKAWA katika jiji la Dar es salaam kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2015 walipaswa kuwa makini kumpata aina ya mtu anaeweza kuubeba ushindi ule ili kuwa Meya.
Meya aliyepo kwa sasa hatoi taswira kama jiji hili lilipiga kura nyingi kwa UKAWA hivyo wananchi wake kuonja matunda ya kuwa chini ya UKAWA.
Meya mipango yake haifahamiki.
Meya hajulikani anafanya kazi zipi.
Meya hafahamiki anasimamia nini.
Wakati mwingine mtu apewe nafasi fulani kwa mkakati maalumu.
sawa...lakini they need to be smarter by going around the obstacles.Ukipewa mwanamke mzuri ufanye nae mapenzi huku umezingirwa na watu pembeni yako naamini hutaweza kufanya hilo tendo!
Yaani huyu Meya kazingirwa na maccm na miccm michawi hayataki kuona kada wa chama kingine analeta maendeleo kwenye eneo lake! watakuletea tu zengwe yupo wapi G.LEMA?
Hayakupi ushirikiano lazma ufail tu
wewe unavyoona kwa dar kabla ya ukawa nini kimefanyikaNilishawahi kusema kuwa CHADEMA wana bahati ya kupendwa ila hawana jipya la kuwafanyia wananchi. Tutarajie yaliyotokea ya jiji la Mwanza 2015 kutokea pia Dar 2020.
Kuongea povu majukwaani sio sawa na kuongoza.Ukawa walianza kwa mikwara ya uda,sasa kimyaa,madiwani wanakula posho tu,ukitaka wakuuwe,punguza poshoUshindi waliopata UKAWA katika jiji la Dar es salaam kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2015 walipaswa kuwa makini kumpata aina ya mtu anaeweza kuubeba ushindi ule ili kuwa Meya.