Arumeru ni kwa Ukawa. Nyie mmefuata nini huko?
Ukawa ni bunch of thugs.
Huyu huyu Mwigulu alishapigwa meru.
CCM Si walisema kaskazini hawaitaki?
Wewe unaona umepost cha maana sana.?Arumeru ni kwa Ukawa. Nyie mmefuata nini huko?
Kwa hiyo hata mama yako akapimwe.
Sikuwahi kuamini ila kwa kilichosemwa na Bavaria hapi juu ndo nimeelewa falsafa ya kundi hili, kuna haja ya vyombo vya serikali na tume wanatakiwa kulifanya juu ya matamshi na kundi hili la thugs, wanaanza kuigawa nchi kwa misingi ya maeneo ..eti huko kwao, ni nani kawapeni?
haa haa mkuu umesahau ile ya maghufuli kutumia kisukuma kupiga kampeni akiwa mikoa ya kanda ya ziwa? ccm kwa ubaguzi ndo yenyewe.
Hata waliozomea jana tanga mpaka wakakamatwa na polisi walipangwa na ukawa au¿¿¿Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ametua sasa hivi jimbo la Arumeru hapa USA River. Maajabu ni kwamba vijana wa UKAWA matumbo joto wameamua kwenda kutibua mkutano wameenda na muziki wao pale wenye nyimbo za CHADEMA wanapiga kwa Sauti ya juu sana ilimradi kusiwepo kusikilizana. Huu sio ustaarabu kabisa na sidhani kama ni jambo la kusifiwa. Hata wale wanaozomea kwenye mikutano ni watu ambao wanapangwa na UKAWA kuleta vurugu. Kwani nini msifanye siasa za kistaarabu hizo ni dalili za kushindwa
Wavute bange zao mwisho ni25 majibu yako kazi tu!!