kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,236
- 4,989
Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ametua sasa hivi jimbo la Arumeru hapa USA River. Maajabu ni kwamba vijana wa UKAWA matumbo joto wameamua kwenda kutibua mkutano wameenda na muziki wao pale wenye nyimbo za CHADEMA wanapiga kwa Sauti ya juu sana ilimradi kusiwepo kusikilizana. Huu sio ustaarabu kabisa na sidhani kama ni jambo la kusifiwa. Hata wale wanaozomea kwenye mikutano ni watu ambao wanapangwa na UKAWA kuleta vurugu. Kwani nini msifanye siasa za kistaarabu hizo ni dalili za kushindwa