UKAWA waleta vurugu mkutano wa CCM Arumeru muda huu

UKAWA waleta vurugu mkutano wa CCM Arumeru muda huu

Arumeru ni kwa Ukawa. Nyie mmefuata nini huko?
 
Wale walikua wanapta na maspeaker siku ya mkutano wa cuf na wakilindwa na policcm walikua wastaarabu mbona hukusema kitu wewe ni mfa maji utakamata mawimbi ulidhani yatakuokoa sasa kufa maji ccm
 
Wewe hijitambui, arumeru hakuna upinzani watu wanasubiri siku ya kura tu. Chadema hawasumbuki na kampeni huku wanajua diwani, mbunge na rais ni nan, isitoshe gari lauziki lina watu 3, dereva, mtangazaji na dj, mbona unadai et vijana ukawa? Mnataka hurumaa?
 
Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ametua sasa hivi jimbo la Arumeru hapa USA River. Maajabu ni kwamba vijana wa UKAWA matumbo joto wameamua kwenda kutibua mkutano wameenda na muziki wao pale wenye nyimbo za CHADEMA wanapiga kwa Sauti ya juu sana ilimradi kusiwepo kusikilizana. Huu sio ustaarabu kabisa na sidhani kama ni jambo la kusifiwa. Hata wale wanaozomea kwenye mikutano ni watu ambao wanapangwa na UKAWA kuleta vurugu. Kwani nini msifanye siasa za kistaarabu hizo ni dalili za kushindwa


Vipi na Juma nyoso yupo??
 
Ccm asili yao ujambazi, uuaji wa albino, wauza unga nk
 
Nilikuwepo kwenye mkutano acha uzushi magari ya chadema yamepita barabarani mbali kabisa na mkutano alafu ule ni mkutano au kikao manake nashangaa pamoja na chopa kutua watu hawafiki hata 150 poleni sana
 
Acha watafute sifa za kijinga, usikute mijitu yenyewe kula,kulala kwa mama, ije ipewe virungu ivunjwe miguu ianze kuwahangaisha wazazi, unae mshobokea atakuacha kilema wao wanakaa mezamoja yamekwisha, huna sababu ya kuanzisha vurugu yanini uanzishe? VIJANA VIROBA SIODILI KIPINDI KAMA HIKI
 
Arumeru ni kwa Ukawa. Nyie mmefuata nini huko?
Katika ubongo wako umeona umepatia kabisaaa, na kiongozi wako akiona hivi anashangilia kuwa ana mtu kamili kisiasa! SIFA ZA JF ZISIWAPE WENDAWAZIMU
 
Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ametua sasa hivi jimbo la Arumeru hapa USA River. Maajabu ni kwamba vijana wa UKAWA matumbo joto wameamua kwenda kutibua mkutano wameenda na muziki wao pale wenye nyimbo za CHADEMA wanapiga kwa Sauti ya juu sana ilimradi kusiwepo kusikilizana. Huu sio ustaarabu kabisa na sidhani kama ni jambo la kusifiwa. Hata wale wanaozomea kwenye mikutano ni watu ambao wanapangwa na UKAWA kuleta vurugu. Kwani nini msifanye siasa za kistaarabu hizo ni dalili za kushindwa

Maigizo
 
Ha ha ha ccm ni ving'ang'a kama Lema tu huko kishaambiwa asihangaike na kampeni kura zake zipo
ccm wanafata nini huko?
ccm mngejikita zaidi ambako watu hawataki mabadiliko kama huku kwa wagogo atleast ndio mna uhakika not Arusha jamani

Wee, weeh! Sio mwaka huu. Usijihakikishie hivyo.

Yaliyotokea jana Tanga ni ushahidi. Kama kweli kampeni za mabadiliko (mpaka Makomeo ameyakubali) zilikuwa rasharasha mpaka sasa. Zikianza za masika basi hakutakuwa na mgogo wala nani, wote mabadiliko. Kila mmoja (mpaka Makomeo) atapenda.

FISIEMU SUMU YA KUDUMU
UKAWA DAWA KAMA KAWA
 
Wafanye fujo, wasifanye fujo. Magufuli ndiye RAIS wa awamu ya 5 wa JMT, full stop
 
Back
Top Bottom