UKAWA wakiona huu uthibitisho watatokwa chozi

UKAWA wakiona huu uthibitisho watatokwa chozi

[h=3]
12193434_900100636743662_3644087550227077751_n.jpg
[/h]
Chukua kura halali halafu jumlisha na kura zilizokataliwa kisha linganisha na kura zilizopigwa uone aibu yenu.... hamjui hata kuiba.. jumlisha asilimia za wagombea uone km zinafika 100%.. apo tu inatosha kuonyesha matokeo yenu ni ya kupika
 
Mr Chin, Ninaomba nikushukur wa moyo wangu wote kwa kunisaidia. Ukwli Muda wote huu wote nilikuwa sijui. Ila nlikuwa nikihisi tu kwa tathmini ya mazingira nilyokuwa nikiyaona.

Kwa hiyo, huu ndio ushahidi mmepeleka ICJ?

Ila kama mmepeleka, hongereni sana mtalikomboa taifa.

Ila hata kama hamjapeleka ila ni mtazamo wako tu, wakuu wako hawajauchukua ushahidi huu muhimu, basi hongera sana kwa kutusaidia watu hapa mtandaoni.

Kwa mantiki hiyo, kuanzia leo sintashuhulika na taarifa yoyote inayoandikwa na wwe Mr Kidevu kwa sababu umshanipa ukweli wa kiwango chako cha akili na ufahamu wa maswala ya kawaida.

Kumbe twaweza waliposema Ccm inashabikiwa na majuha, walikuwa sahihi. Hiki ndicho kiwango cha Mr Chini ambaye ccm imemwamini kuwa mwakilishi wa propaganda zak zote hapa mtandaoni.

Kweli Ccm ni chama cha majuha.

WANAJAMVI, NANI ATAKUWA NA HAJA YA KUPOTEZA MUDA WA KUTAFITI UJUHA WA Mr Chin, baada ya hii aibu tena iliyomwacha utupu kama vile kichwa chake kilivyo?
 
Last edited by a moderator:
Chukua kura halali halafu jumlisha na kura zilizokataliwa kisha linganisha na kura zilizopigwa uone aibu yenu.... hamjui hata kuiba.. jumlisha asilimia za wagombea uone km zinafika 100%.. apo tu inatosha kuonyesha matokeo yenu ni ya kupika
Mkuu ccm wanapenda namba lakini hawajui HESABU​
 
Ni kuunge mkono kwa kueleza kidogo makazi yao kwa Arusha na Moshi. Profile yao ni kama ifuatayo:
MaCCM mengi Arusha yanaishi uswahilini, mjini katikati kwenye magofu ya zamani maeneo ya mnara wa makumbusho ya Azimio la Arusha.
Kwa Moshi Maccm mengi yanaishi Pasua na Njoro. Hizi ni sehemu za watu maskini ambao kwa kiasi kikubwa,elimu hawana.

Profile za wana CCM wengi wa Arusha na Moshi zinafanana kama ifuatavyo: Hii ni majority(90%) sio wote:

Kazi za wanaume;Kuuza kahawa na tende;wengi hushinda maeneo ya misikiti kupiga soga kuanzia asubuhi hadi jioni, pia hushinda vijiwe vya kuuzia magazeti, ofisi za chama za mtaa, ofisi za club za mipira na sehemu za shoe shines.

Kazi za wanawake wa CCM: kupika vitumbua asubuhi,na mchana kushinda mabarazani kupaka ina na kujipodoa
Pia wasomali wengi haswa wale wenye DRY Cleaners ni MaCCM. Wahindi walishaachana na CCM siku nyingi.

Hawa IQ yao ni ndogo na hawapendi kuumiza kichwa kufikiri haswa ukiwauliza vipi future yao huwa hawana plan yoyote. Kwao kila kitu kiko sawa hawaoni kwa nini mtu usiendelee kuishi kama ulivyozoea; kwani kwao jana na leo hazina tofauti.

The converse is also true.
 
We ni pimbi, matokeo halal yale pale juu jumlsha kma hupat idad ile, sema nyie mmetengeneza yenu kumuonesha lowasa kapata milion 6 na laki saba kumbe sio ni milion sita na Sabani+ hukooo
Mkuu katika maisha yako uliwahi kusoma somo la mathematics? ukiacha lile somo la hisabati ulilosoma wakati upo shule ya msingi.
 
C ya 2009 adavance unasema ya BRN? Hahaha huwez kuwa serious ukute hata hujui nn maaana ya ad math
 
of most of CCM they dont know if there is more life than that they have right now thus y we still underdeveloped
 
Back
Top Bottom