UKAWA waitisha kikao cha dharura


Hivi hii habari ya kuwa kamanda Mbowe yupo marekani ni kweli?
 
Ukawa Nyie Endeleeni Na Vikao Na Kuita Press Conference Za Kutosha Ila Tutawaomba Mjumuike Nasi Pale Uwanja Wa Taifa Wakati Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Hon.John P Magufuli Akiapishwa Octoba..Karibuni Sana..

Atakuwa Rais wa ccm
 
Tamaa na uchu wa madaraka unaviponza vyama vya upinzani. Mzee kununua chadema imekuwa ni pigo tosha la kuwapoteza kabisa kisiasa.

Nimewahi kusema hapa chadema chama nilichokipenda kinakwenda kupotea kwenye ramani ya siasa za Tanzania
 
Kwani cha ajabu ni nin hapo? Kufanya vikao ? Kwani ccm haifanyi vikao ? Hiyo taasisi isiyo na kikao au isiyotofautiana kimawazo uliwahi kuiona wapi ? Tena kwa kipindi hiki vikao ni muhimu sana na kama ingewezeka ilitakiwa vikao viwili kila baada ya siku 4
 
Ukawa iko imara nyie ccm wajinga kweli mnaenda mnunua katibu na m/kiti mna akili kweli?? Kuna msemo mmoja kwe bibilia unasema piga mchungaji na kondoo watatawanyika, nyie mnapiga kondoo badala ya mchungi c mchungi atawarudisha tu???? Akili za magamba bwana
 
Maelezo yoote hayo yanini?? Mie hayanisaidi kitu cha msingi kwangu mwaka huu mwenzenu NINA KICHINJIO CHANGU MWENYEWE TUONANE KWENYE KI- BOX CHA KURA.
Kama vile MACCM MNAVYO UKATA UMEME MTAANI BASIII NAMI NITAWAKATA KABISA KWA KURA YANGU.
 
Ukawa ni lawama kila kukicha, juzi Mbatia alikuwa akilia kwa kutoa lawama, jana viongozi wandamizi NCCR Mageuzi nao wakaja juu, CUF nako ni shida,kweli huu ndo upinzani njaa.

Yani nyie CCM mnashida sanaaa kwa kweli maana mnaanzisha uzi wenyewe na kucomment wenyewe,Nahisi hujitambui wewe hivi unavyosema MBATIA ALILALAMIKIA UKAWA ILIKUWA LINI? NA ALISEMA MANENO GANI??...TUNAWAOMBA MSIJITOE UFAHAMU ATA KAMA NDO MNAKATA ROHOO NYIE MAFISIEMU!
 

Kitengo cha lumumba FC aka buku 7 mmebadilishiwa jina eti IT waandaa propaganda za mtandao tumeshatoka huko endeleeni kupiga upepo rangi! Nastory za kutengeneza
 
Vijana wa wa mwanzo wa mwaka tumieni akili hata kama mnaambiwa mposti aiwezekati habari moja inafanana kwa,kila anayeposti kama mlikuwa mnaandika pamoja kuweni wa binifu muwe mnapata wa kuleta propaganda zenu au kwa sababu malipo post ndio kila mtu anapambana
 
Hakuna kitu kama hicho. Mbowe yuko Kilimanjaro kwemye kampeni.hizi ni porojo za ccm kutuondoa kwenye msimamo wetu wapiga kura. ili ionekane kuna mgogoro ukawa msitishwe na uongo wa aina hii.
 

It is funny kuona manguli wa JF wana"like" hizi cheap propaganda

Wow.... hata kama siungi mkono CCM siwezi kushabikia cheap propaganda
 
Hatoki mtu kwenye reli. Treni imeng'ang'ania. CCM Mtaisoma namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…