UKAWA waitisha kikao cha dharura

UKAWA waitisha kikao cha dharura

UKAWA KUWA NA KIKAO CHA DHARURA

Kufuatia hali kuwa tete ndani ya kambi ya UKAWA, viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo wanatarajia kukutana kwa dharura kesho kujadili mwenendo wa umoja wao.

Taarifa za ndani ya UKAWA zinasema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye yupo nchini Marekani atalazimika kurudi haraka nchini na inaelezwa huenda akaingia usiku huu au mapema kesho kwaajili ya kikao hicho cha dharura ambacho kitaamua hatma ya umoja huo.

Mbali na Mbowe, timu yote ya kampeni za mgombea urais na mgombea mwenyewe pamoja na mgombea mwenza wanatarajia kusitisha kampeni na kurudi Dar es Salaam kwa siku ya kesho hadi watakapopata mwafaka wa masuala yanayobishaniwa ndani ya umoja huo.

Taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana na kupjnga jinsi Chadema wanavyoendesha umoja huo hadi kufikia hatua ya mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na inaelezwa kikao hicho kitatumika kumuomba asijitoe.

CUF wanalalamikia UKAWA kuendeshwa na mtu mmoja ambaye ni Mbowe badala ya kuendeshwa kama taasisi na amekuwa akichukua maamuzi bila kushirikisha wengine.

"UKAWA ni Mbowe na yeye ndo anaendesha mambo anavyotaka kwa maslahi yake na mkwewe mzee Mtei. Huu ni uhuni ambao tulikuwa tunausikia tu ila leo tunajionea baada ya kuingia ndani" alisema kiongozi mmoja wa CUF ambaye alisisitiza kama Mbowe lengo lake lilikuwa ni kuua CUF amefanikiwa ila dhambi hiyo itamtafuna na watahakikisha Chadema haibaki salama

Chadema ni saccos inamilikiwa na ukanda mmoja,si rahisi watanzania wakakubaliana na ajenda zo za vurugu.
 
BREAKING NEWS:UKAWA WAITISHA KIKAO CHA DHARULA KESHO:

Kufuatia hali kuwa tete ndani ya kambi ya UKAWA, viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo wanatarajia kukutana kwa dharura kesho kujadili mwenendo wa umoja wao.

Taarifa za ndani ya UKAWA zinasema Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambaye yupo nchini Marekani atalazimika kurudi haraka nchini na inaelezwa huenda akaingia usiku huu au mapema kesho kwaajili ya kikao hicho cha dharura ambacho kitaamua hatma ya umoja huo.

Mbali na Mbowe, timu yote ya kampeni za mgombea urais na mgombea mwenyewe pamoja na mgombea mwenza wanatarajia kusitisha kampeni na kurudi Dar es Salaam kwa siku ya kesho hadi watakapopata mwafaka wa masuala yanayobishaniwa ndani ya umoja huo.

Taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana na kupjnga jinsi Chadema wanavyoendesha umoja huo hadi kufikia hatua ya mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na inaelezwa kikao hicho kitatumika kumuomba asijitoe.

CUF wanalalamikia UKAWA kuendeshwa na mtu mmoja ambaye ni Mbowe badala ya kuendeshwa kama taasisi na amekuwa akichukua maamuzi bila kushirikisha wengine.

"UKAWA ni Mbowe na yeye ndo anaendesha mambo anavyotaka kwa maslahi yake na mkwewe mzee Mtei. Huu ni uhuni ambao tulikuwa tunausikia tu ila leo tunajionea baada ya kuingia ndani" alisema kiongozi mmoja wa CUF ambaye alisisitiza kama Mbowe lengo lake lilikuwa ni kuua CUF amefanikiwa ila dhambi hiyo itamtafuna na watahakikisha Chadema haibaki salama.
Wewe na mzksaditz ni mtu mmoja?
 
Mbona makamanda viongozi wetu wanatuchanganya hivo, tuchukueni maamuzi magumunkama ni hivo, hawa jamaa wanataka kutubuluza.
Ukiona hivyo ujue CCM imeshapenyeza rupia kwa viongozi wachovu na waroho. Mimi hata nibaki peke yangu CCM haipati kura yangu.
 
Kweli mnakosa chakuandika. Na wewe unayesema babu duni hajaonekana. Sijui ulitaka umuone wapi. Maana tar 17 alikua geita.na Leo anaendelea na kampeni.
 
Wanna ukawa mmsiumize kichwa na hiyo thread,wanatunga wenyewe na wanajijibu wenyewe ,
 
Hotuba ya Lusinde bungeni alifananisha ukawa ni kama kuweka mayai mengi ndani ya kapu moja akitokea mtu mwenye shabaha akalipiga lile kapu ndo kwisha habari yake
ukiona lusinde ndiyo reference pt yako ujue unakoelekea ni majanga
 
BREAKING NEWS:UKAWA WAITISHA KIKAO CHA DHARULA KESHO:

Kufuatia hali kuwa tete ndani ya kambi ya UKAWA, viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo wanatarajia kukutana kwa dharura kesho kujadili mwenendo wa umoja wao.

Taarifa za ndani ya UKAWA zinasema Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambaye yupo nchini Marekani atalazimika kurudi haraka nchini na inaelezwa huenda akaingia usiku huu au mapema kesho kwaajili ya kikao hicho cha dharura ambacho kitaamua hatma ya umoja huo.

Mbali na Mbowe, timu yote ya kampeni za mgombea urais na mgombea mwenyewe pamoja na mgombea mwenza wanatarajia kusitisha kampeni na kurudi Dar es Salaam kwa siku ya kesho hadi watakapopata mwafaka wa masuala yanayobishaniwa ndani ya umoja huo.

Taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana na kupjnga jinsi Chadema wanavyoendesha umoja huo hadi kufikia hatua ya mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na inaelezwa kikao hicho kitatumika kumuomba asijitoe.

CUF wanalalamikia UKAWA kuendeshwa na mtu mmoja ambaye ni Mbowe badala ya kuendeshwa kama taasisi na amekuwa akichukua maamuzi bila kushirikisha wengine.

"UKAWA ni Mbowe na yeye ndo anaendesha mambo anavyotaka kwa maslahi yake na mkwewe mzee Mtei. Huu ni uhuni ambao tulikuwa tunausikia tu ila leo tunajionea baada ya kuingia ndani" alisema kiongozi mmoja wa CUF ambaye alisisitiza kama Mbowe lengo lake lilikuwa ni kuua CUF amefanikiwa ila dhambi hiyo itamtafuna na watahakikisha Chadema haibaki salama.

jamani acheni propaganda na siasa maigizo,,, tumieni muda kunusuru ccm yenu...hayo hayata saidia kitu. kama hotuba ya slaa tu imeshindwa kuyumbisha mbio za lowasa,, hizi za mitandao ndo zitaweza?
 
Chama kila kukicha,ni shida tu, wanainchi wamechoka na vurugu zenu, hapa ni kusema ukweli, hatuwezi kuchagua viongozi waliotanguliza tamaa mbele.
 
kwani ccm wameitisha vikao mara ngapi? mpaka mshangae vikao vya ukawa hiyo ni sehemu ya changa moto
Teh, Teh. Kama kile kikao cha kuandaa makapteni wawili kila jimbo kuhakikisha wanaiba kura!. Soma gazeti la Mawio la jana uone ni nani kapteni kwenye jimbo lako. Hadi namba zao za simu zipo!. Wa jimbo langu nishawajua. Nawaangalia kwa ukaribu
 
Bado hamjajua ugomvi uko wapi.. tatizo sio ukawa ...tatizo tumeichoka ccm hata kukiwa hamna ukawa lowasa akawa mgombea binafsi tunampa...issue ni kuiondoa ccm madarakani stop
 
kwani tunapiga kura sisi au migogoro , pesa mnazotumia kuleta fitna na majungu, mwisho wa siku, mtatafutana uchawi.
 
Mtasema sanaaaaa lakn mwisho wa siku kura yangu IPO UKAWA
 
Vipi kuna dalili za mkutano au huyu jamaa muongo ccm kwisha.

swissme
 
Mimi niko ndani ya huo UKAWA na hakuna taarifa zozote za kikao acheni kuzusha mambo,
 
Back
Top Bottom