UKAWA wagomea kampeni ya usafi Dar!

Kila mji una namna yake ya kupambana changamoto..,ninachokuambia kwa sasa hata wananchi hawana tabia ya usafi..inahitajika washirikishwe na viongozi ili kujenga tabia hata nyenzo zinapokuwepo inakuwa rahisi kufanikisha.

Sio kweli kuwa wananchi hawana tabia ya usafi, bali Halmashauri ya jiji haina mikakati ya kulifanya jiji safi, ile nguvu iliyokuwa inatumika kipindi cha Nyerere iliishia wapi?, jiji lilikuwa safi mno, sasa jiji linakuwa na halmashauri ya jiji haina plan yoyote ya kuendana na kasi ya maendeleo

Kwa taarifa yako tu,
Hakuna nyumba isiyofagiliwa hapa Dar hata Tandale au Mazense,
Hakuna nyumba yenye choo isiyokuwa na ufagio wa chooni na bafuni
Hakuna nyumba isiyokuwa na kiroba cha uchafu hapa Dar

Shida ni kuwa huo uchafu wa kutoka kwenye hayo majumba unaenda wapi? Siku za mvua ndio siku za kuvubua vyoo na kutiririsha mitoni, ndio siku ya kurushia viroba vya uchafu mitaroni
Kila kona kuna gereji na hakuna utaratibu unaoeleweka wa wapi pa kuweka uchafu

Halmashauri ya jiji imefail kwenye hili na hilo sio jukumu lako wala UKAWA, Jukumu lako ni kupiga kelele na kuwaamsha Halamashauri ya jiji wafanye kazi zao ipasavyo
 
Kubenea,Mnyika,Mtulia na Mwita walikuwa maeneo gani?
We kweli kubwajinga kama alivyosema mdau hapo juu. Yaani watu wazima na akili zao waache shughuli za bunge kwa ajili ya kuja pigs selfie na wasanii uchwara? Hizo akili matope ondoa kabisa kwa wabunfe making kama wale.
Kama ujinga umetanalaki ndani ya jumba lenu msifikiri hata kwa jirani
 
Makonda tafuta yale magari ya kisasa ya taka wafanye kazi usiku na mengine mchana na walipwe vizuri..Uchafu wa dar hamuwezi kuutoa kwa mazingira hayo hapo mnakusanya tuu uchafu..
 
Sasa mameya wetu hawataki kusisitiza usafi,tufanyeje?
 
Vyama makini haviwezi kushiriki zoezi la maigizo. Normally vinafanya mambo endelevu. Kwa yale majiji tunayoongoza tutatoa utaratibu wa usafi kwa maeneo yale tu ambayo hayana wakandarasi vinginevyo tutajikuta wananchi wanafanya usafi halafu kandarasi ambao wote ni ccm wanalipwa na halmashauri au jiji.
 
Nafikiri sababu ya hasira...umeandika makosa mengi,sahihisha!.
 
Jumamosi ya jana kulikuwa na shughuli gani bungeni iliyowabana hawa wabunge wa Dar?
 
Jumamosi ya jana kulikuwa na shughuli gani bungeni iliyowabana hawa wabunge wa Dar?
Jingalao kweli ulitaka baada ya kuahirishwa bunge ijumaa saa mbili usiku basi wabunge waondoke usiku huo kuwahi Asubuhi jumamosi kupiga selfie na Makonda na wasanii?
Unahitaji kupimwa ili nawe ujiridhishe kama uko fit kweli?
 
Jingalao kweli ulitaka baada ya kuahirishwa bunge ijumaa saa mbili usiku basi wabunge waondoke usiku huo kuwahi Asubuhi jumamosi kupiga selfie na Makonda na wasanii?
Unahitaji kupimwa ili nawe ujiridhishe kama uko fit kweli?
Chakaza vipi madiwani? kumbe hata hiyo picha ya Theopista ni ya uongo.
 
Kubenea,Mnyika,Mtulia na Mwita walikuwa maeneo gani?
Mbavu zako na we jiuluze magufuli alikuwa wapi we unafikiri usafi usimamishe na shughuli nyingine eti kisa makonda kasema kweli ww ni pumbavu lao!!
 
Jingalao kweli ulitaka baada ya kuahirishwa bunge ijumaa saa mbili usiku basi wabunge waondoke usiku huo kuwahi Asubuhi jumamosi kupiga selfie na Makonda na wasanii?
Unahitaji kupimwa ili nawe ujiridhishe kama uko fit kweli?
Jibu swali...walikuwa na shughuli gani unayooiita ya maana kama sio kupiga tungi chako ni chako
 
Diamond new hit song
Wandugu kuna hii hit song(tangazo za Coca-Cola) walah nilifikil ametoa single mpya sijui members nyie mnalisikiaje lile tangazo?
Nasikitika,Tutuo inamaanisha eneo lipo Sikonge,Tabora?..kama ndivyo badilika...hapajawahi kutokea mtu anayeongezeka ujinga kwa kasi yako,badilika.
 
Usaf unaopangiliwa na clouds fm, wanyonyaj wa wasanii Ukawa wa kafanyaje?
Ruge ni Nan had atupangie sis
 
Wakati wenzetu wakienda kwenye mwezi, sisi tunahamasishana kushika fagio. Aibu. 1.Elimu 2.Elimu 3.Elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…