UKAWA wagawana majimbo 211

UKAWA wagawana majimbo 211

Usitokee nyuma kuja kubadili gia ya gari, ujue kuna driver seat ambayo imekaliwa na dereva yenye mamlaka ya kubadili gia
 
" huku wakishindwa kuelewana katika kugawana majimbo mengine 28".........

Siasa zetu ndio huwa zinaanzia kuharibika hapa.
 
Hizi habari sizan Kama zina ukweli wowote

I guess hii habari katika gazeti la Mtanzania ni SPINNING....Makao makuu ya chama haiwezi kuwa sababu kubwa ya kachia chama Ugombea hata kama wana ofisi pale. Think of Ofisi za Wilaya, Mikoa, kata na matawi...Uongo wa gazeti la Mtanzania
 
Wameachiana hayo yote mia mbili nadhan hya ishirin na nane haita shindikana hii ndo tulikuwa tunaihitaji hakika Kwa mpangilio huo naona wabunge waupinzan150+ kwe hili bunge lijalo apa ccm Wajiandae tuu kisaikolojia
 
Tunasubiri tamko rasimi ya UKAWA siyo poroja la gazeti la Mtanzania. UKAWA wapo makini.
 
Acha matusi Bavicha,

Kama mmeshanza kushindana kwenye majimbo 28 Je kwenye Urais na Ruzuku? Huko Si mtatoana roho kabisa?
sasa maccm wagombea WA chama kimoja mnatoana macho kura za maoni ikifikia uchaguzi Mkuu si mtawatoa roho wagombea wa vyama vingine kama mangula alivyotaka kumtoa roho Slaa hivi karibuni?
 
Mnapima upepo wa kisiasa?

Hizi ni spinning za kitoto sana.

We mwenezi wa CCM Kwenye Mitandao ya jamii na mkuu wa kitengo cha propaganda,hua unajaribu kupinga kila kitu.Bila shaka utakuwa na vi element vya kishetenani.Sio bure kabisa.
 
Ni jambo jema ila nadhani kwa Segerea mahesabu yameenda tenge.Chadema iko na nguvu sana
 
Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), wamegawana jumla ya majimbo 211 huku wakishindwa kuelewana katika kugawana majimbo mengine 28.

Pia,jimbo la Zitto limebaki kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA).

My take:
This is a significant breakthrough in achieving political changes in our country.
=======================



Chanzo:Mtanzania

Ccm mwaka huu watashaa.
 
Mwisho wake wataanza kugawanyika yangu macho Sasa majimbo 28 Je kwenye URAIS? Huko ndiko kutakuwa na Vita kubwa na mwishowe watasema CCM

Wewe nyumba yenu wenyewe c cm inawaka moto unaacha kusaidia kuuzima unakuja kuangalia tv kwa jirani? Watu wa ajabu sana ninyi.
 
Kwani kutofautiana cinijambo la kawaidaa Ila mwisho wa siku nguvu ya hoja itazingatiwa

Ccm hawataki kusikia huu muungano na ndio maana wachokonozi ili wapate kujua kilichojiri tusiwape mikakati yetu hawa manyangau.
 
Wameachiana hayo yote mia mbili nadhan hya ishirin na nane haita shindikana hii ndo tulikuwa tunaihitaji hakika Kwa mpangilio huo naona wabunge waupinzan150+ kwe hili bunge lijalo apa ccm Wajiandae tuu kisaikolojia

Wajiandae kisaikolojia wapi baba kabla ya kupelekwa mirembe kwanza.
 
Back
Top Bottom