UKAWA wagawana majimbo 211

UKAWA wagawana majimbo 211

Nendeni na ILALA muone mnavyo pigwa asubh.....chadema wajanja sana majimbo magumu wana yaacha kwa wenzao,,,,,eti kuzingatia makao makuu,,,,sasa chadema ipo UKONGA? Nyoooooooooo.....sisi cuf hatukubali na tumeona meseji zenu zinazo sema Cuf ni CCM.
 
Hapo ndipo unapoona tamaa ya CHADEMA kwa kweli, ukitaka ukawa ivunjike we tangaza nafasi ya Urais iende nje ya Dj au babu.
 
Mimi nawapongeza UKAWA ni hatua nzuri, wanakwenda sawa tunaweza kufikia kwenye demokrasia ya kweli.
 
Nendeni na ILALA muone mnavyo pigwa asubh.....chadema wajanja sana majimbo magumu wana yaacha kwa wenzao,,,,,eti kuzingatia makao makuu,,,,sasa chadema ipo UKONGA? Nyoooooooooo.....sisi cuf hatukubali na tumeona meseji zenu zinazo sema Cuf ni CCM.

Bwana Mtazamo, Hawa wanaogawa majimbo wanaangalia kukubarika kwa chama husika katika maeneo hayo.katika majimbo ambayo ni magumu lazima wapeleke mgombea pale ,kwa sababu Chadema wana majimbo mengi hapa dar wanakokubarika inabidi majimbo yaliyobaki wapewe wengine.Pia kumbuka hii ni ukawa kampeni zote zitakwenda kwa vyama vyote kwa pamoja, kwa hiyo wanatarajia kila mgombea kupata kura na suport kutoka vyama vyote.Kumbuka huu ni uchaguzi ukicheza vizuri karata unashinda. usihofu ndugu.Achana na hizo msg, hao ni watu wanaotaka UKAWA isambaratike, usisikilize udaku.
 
Mshamba tu huyo.
Nafanyia kazi kelele za mashabiki badala ya kutafuta taarifa rasmi za chama!
Halafu hayo majimbo rahisi hajui kuwa yamelainishwa kwa muda mrefu na hao CHADEmA?
Bwana Mtazamo, Hawa wanaogawa majimbo wanaangalia kukubarika kwa chama husika katika maeneo hayo.katika majimbo ambayo ni magumu lazima wapeleke mgombea pale ,kwa sababu Chadema wana majimbo mengi hapa dar wanakokubarika inabidi majimbo yaliyobaki wapewe wengine.Pia kumbuka hii ni ukawa kampeni zote zitakwenda kwa vyama vyote kwa pamoja, kwa hiyo wanatarajia kila mgombea kupata kura na suport kutoka vyama vyote.Kumbuka huu ni uchaguzi ukicheza vizuri karata unashinda. usihofu ndugu.Achana na hizo msg, hao ni watu wanaotaka UKAWA isambaratike, usisikilize udaku.
 
Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), wamegawana jumla ya majimbo 211 huku wakishindwa kuelewana katika kugawana majimbo mengine 28.

Pia,jimbo la Zitto limebaki kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA).

My take:
This is a significant breakthrough in achieving political changes in our country.
=======================

Chanzo:Mtanzania

Kuna majimbo mapya 26...yakiwamo ya Dar...hawakuyataja ?
mfano mbagala cuf wana watu wengi sana kule
 
Back
Top Bottom