Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Babati vijijini tatizo lipo wapi kati ya chadema na nccr-mageuzi?
Laurence Tara wa nccr mageuzi alikuwa na nguvu na ndo alikuwa tishio kwa ccm,sasa mbona kashahamia chadema nccr haina mtu kule,maana waliyekuwa wanamtegemea kahamia chadema mwaka juzi kama sikosei