Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 8,390
- 10,463
Wandugu hakuna kipindi nilichoumia kama kipindi hiki ambacho kimefanya hawa makamanda wetu kututosa. Nakubali wafuasi na wanachama wengi kupitia migongo yao wameshatimua zao wengine aidha kwa kufuata ushawishi wao au wengine kuchukua maamuzi binafsi baada ya kuona mgombea wetu ni BOMU LINALOSUBILI KUPASUKA. Mpaka sasa ni kama tupo ndotoni hatuelewi hivi Mbowe tamaa hii ya pesa ndio kweli imekufanya uuze chama.??? Miaka yote ya mapambano imepitea bure badala ya kwenda mbele tumerudi nyuuuuma kuanza na zero. Hivi kweli Mbowe. Hivi kwa hali yoyote uchaguzi huu hatuwezi kushinda kamwe. Lakini sasa embu tujipange baada ya uchaguzi Mbowe utatuambia nini kwa sababu wewe ndio mastermind wa hili dili lote. Mkae tayari. Nadhani hata ikiwezekana baada tu ya uchaguzi itabidi mkae mbali na ofisi msiingie tutaweka makufuli yetu na tutamtaka kila mmoja ajieleze alishiriki vipi kuwaleta mafisadi kabla ya kuruhusiwa kuingia ofisini. Msidhani siasa ni mchezo wa kitoto. Tutawaomba viongozi wa vyama vingine watimue zao na ilani zao hatuzitaki. Duni utarudi kwenu hatukuhitaji na hapo ndio sasa itazaliwa CHADEMA ASILIA. Mbatia utafute pa kwenda naona sasa kwako kunaendelea kupasuka unajifanya unatetea ukawa. Uongo mtupu. Uchumiaji tumbo tuu kama hujatumwa.Uloi nga mâché68;14022084 said:UKAWA ingekuwepo Vijijini na Vitongojini isingeambulia 20% Uchaguzi wa Serikali za Mitaa miezi 10 iliyopita! KIMEBADILIKA NINI SASA?
Uloi nga mâché68;14021815 said:Katika hali ya kukatishwa tamaa na ukweli kwamba watashindwa vibaya Oktoba , UKAWA wameanza kutoa visingizio kwamba mara wataibiwa KURA, mara NEC inaandaa mazingira ya kuibeba CCM hali wakijua kwamba udhaifu wao kwenye Vijiji, Vitongoji na Mitaa na kuikana Itikadi yao ndio kaburi lao. PIGO linakuja OKTOBA.
Mtashangaa sana
Thibitisha jinsi CCM itakavyoshonda.Yaani mimi nasema CCM mwaka huu haiwezi kushinda hata kwa dawa! Kumbuka Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana no tofauti kabisa na huu.Uloi nga mâché68;14021815 said:Katika hali ya kukatishwa tamaa na ukweli kwamba watashindwa vibaya Oktoba , UKAWA wameanza kutoa visingizio kwamba mara wataibiwa KURA, mara NEC inaandaa mazingira ya kuibeba CCM hali wakijua kwamba udhaifu wao kwenye Vijiji, Vitongoji na Mitaa na kuikana Itikadi yao ndio kaburi lao. PIGO linakuja OKTOBA.
Mtashangaa sana
Kweli wamechanganyikiwa Magamba, hadi yanatengeneza matokeo feki ya utafiti. Yameishiwa hoja na sasa wanadandia Richmondi ya miaka 8 iliyopita. Ukweli ni kwamba si kuwa watanzania wanampenda Lowasa sana kivile lakini wameichoka sana CCM. Mijini na vijijini hawataki kuisikia.Ukawa sasa hivi upo hadi ngazi ya vitiongoji na vijiji! Mashabiki wake wamejiandikisha kupiga kura tofauti na chaguzi zingine. Thread kama hii ni ya kuweka katika akili za watu mpango wa wizi. Hakuna namna halali ya CCM kushinda uchaguzi huu! Fanya survey ya kweli na utahakikisha!
Mtoa mada anaakili ndogo sana, amesahau kua hili ni janvi la greatest thinkers, kamwe akili ndogo haiwezi kutawala akil kubwa and this is principles, pole bali hoja yako ni kinyume chake
Uloi nga mâché68;14021815 said:Katika hali ya kukatishwa tamaa na ukweli kwamba watashindwa vibaya Oktoba , UKAWA wameanza kutoa visingizio kwamba mara wataibiwa KURA, mara NEC inaandaa mazingira ya kuibeba CCM hali wakijua kwamba udhaifu wao kwenye Vijiji, Vitongoji na Mitaa na kuikana Itikadi yao ndio kaburi lao. PIGO linakuja OKTOBA.
Mtashangaa sana
Uloi nga mâché68;14021815 said:Katika hali ya kukatishwa tamaa na ukweli kwamba watashindwa vibaya Oktoba , UKAWA wameanza kutoa visingizio kwamba mara wataibiwa KURA, mara NEC inaandaa mazingira ya kuibeba CCM hali wakijua kwamba udhaifu wao kwenye Vijiji, Vitongoji na Mitaa na kuikana Itikadi yao ndio kaburi lao. PIGO linakuja OKTOBA.
Mtashangaa sana
ndomaana huwa na sema kila siku Ukawa msitusimee neno watanzania ntangu lini umewekwa kuwa msemaji wa watanzania?? nyie semeni hivyi sisi mashabiki wa ukawa tumeamua... siyo watanzania, mimi pia ni mtanzania ila ukawa hawawezi kutuuzia mbuzi kwenywe gunia rais hata kupanda ndege tu ni shida acha gari. wanaojielewa wote kura kwa Magufuli. huko wamebaki mashabiki tu.
''HAPA KAZI TU''
kama UKAWA wemechanganyikiwa basi CCM iko ICU ...