UKAWA wachanganyikiwa!

UKAWA wachanganyikiwa!

Hivi Ukawa huwa hamuwezi kubishana kwa hoja mpaka mtukane? Acheni kutokwa povu, jibuni hoja kwa counter hoja bhana, hasira za nini?
Khaa!! Wengine ndiyo maisha yao hayo. Wakipigwa chini kule walikotoa uchafu watakuwa wanakusikia bombani tu
 
Khaa!! Wengine ndiyo maisha yao hayo. Wakipigwa chini kule walikotoa uchafu watakuwa wanakusikia bombani tu

Wanaudhi sana, sijui ni training? Nahisi watakuwa na chuo cha matusi maana wengine naona wanaweza kuwa na vyeti vya kutukana kabisa kama siyo mafaili ya milembe.
 
ccm lazima mkubali ukweli kwamba,wananchi wamewachoka, ahadi za 2010 hamatekeleza mnaahidi ahadi nyingine hivi nani mjinga wa kuendelea kuwaamini? hata kama UKAWA asingekuwapo Lowasa wangeshinda tu, wananchi wanataka chama kingine wamechoka na uongo wa ccm
 
natabiri baada ya october watu watasema

MBOWE ni mpambanaji mwenye maono na asiyekata tamaa

LOWASA ni mtu aliyetimiza utabiri wa baba wa Taifa
 
Back
Top Bottom