UKAWA wachanganyikiwa!

UKAWA wachanganyikiwa!

Mtaisoma namba mwaka huu, mmeacha watu wazima mkaenda kuokota maradhi, kachezeni sasa, Jana mnaahirisha mkutano Geita kwa cheap reason Ati mike hazisikiki, mboma Lisu alipokuwa anaongea kuahirisha mkutano alisikika? Ati jukwaa Dogo, hamkujua kama mna mkutano Jana? Hali ya mgombea ilikuwa tete, bado siku 38 mtasingizia kila kitu Hadi mtamaliza muumbuke,, walafi wakubwa wa madaraka nyie
 
Attachments

  • 1442498708128.jpg
    1442498708128.jpg
    16.3 KB · Views: 178
ccm hamna namna ya kuwin huu uchaguzi hadi mkwibe tukura japo mjazilizie ingawa hazitatosha kwani ukawa itawaacha mbali sana!!!!

watu mnakalia kutoa mitusi hadharani kama watoto badala ya kusema mipango yenu ya kuliendeleza Taifa!!??!!!
 
moja ya matatizo makubwa wanayoumwa UKAWA ni huu ugonjwa hapo juu na viroba. hamuwezi kushinda kwa hoja mmebaki ushabiki tu. Hizi siasa tu ndugu yangu tar25 mwisho, maisha lazima yaendele Tanzania.

Shetani mweusi we viroba alininunulia bwana ako?
 
Uloi nga mâché68;14021815 said:
Katika hali ya kukatishwa tamaa na ukweli kwamba watashindwa vibaya Oktoba , UKAWA wameanza kutoa visingizio kwamba mara wataibiwa KURA, mara NEC inaandaa mazingira ya kuibeba CCM hali wakijua kwamba udhaifu wao kwenye Vijiji, Vitongoji na Mitaa na kuikana Itikadi yao ndio kaburi lao. PIGO linakuja OKTOBA.

Mtashangaa sana

vilaza fc
 
Mtaisoma namba mwaka huu, mmeacha watu wazima mkaenda kuokota maradhi, kachezeni sasa, Jana mnaahirisha mkutano Geita kwa cheap reason Ati mike hazisikiki, mboma Lisu alipokuwa anaongea kuahirisha mkutano alisikika? Ati jukwaa Dogo, hamkujua kama mna mkutano Jana? Hali ya mgombea ilikuwa tete, bado siku 38 mtasingizia kila kitu Hadi mtamaliza muumbuke,, walafi wakubwa wa madaraka nyie

''Hapa kazi tu''
 
Uloi nga mâché68;14022084 said:
UKAWA ingekuwepo Vijijini na Vitongojini isingeambulia 20% Uchaguzi wa Serikali za Mitaa miezi 10 iliyopita! KIMEBADILIKA NINI SASA?

Kilichobadilika ni ccm kukosa msemaji wakati huu muhimu.. Kila mtu anakisemea chama.. Hata yule wa goli la mkono sijui yuko wapi aokoe jahaz..!
 
moja ya matatizo makubwa wanayoumwa UKAWA ni huu ugonjwa hapo juu na viroba. hamuwezi kushinda kwa hoja mmebaki ushabiki tu. Hizi siasa tu ndugu yangu tar25 mwisho, maisha lazima yaendele Tanzania.

huu upuuz kamweleze mamaako
 
ccm hamna namna ya kuwin huu uchaguzi hadi mkwibe tukura japo mjazilizie ingawa hazitatosha kwani ukawa itawaacha mbali sana!!!!

watu mnakalia kutoa mitusi hadharani kama watoto badala ya kusema mipango yenu ya kuliendeleza Taifa!!??!!!

kaka huu uchaguzi raisi sana na point zilizo baki zote tutazikomba kwenye mdahalo. sijui jama ataongea nini lol?
 
Lowasa hawezi kuapisha wanajeshi maana afya take ni hewa,urais na kuhutubia taifa kwenye mitandao ndo kifo cha lowasa,
 
Lowasa wamemkomesha mwaka huu kuna midahalo yaani nitacheka mpaka nife na mdahalo mwenyewe Massa 3,kwisha
 
ccm kicheuchefu,wanaanza kujihami kwa kutoa taarifa za uongo,mbona redet wenyewe wamegwaya,ccm R.I.P
 
UKAWA imetabiriwa ndani ya bibla someni Zaburi 32:9 mtawafahamu ni akina nani mbele za mungu. Ameni

Are you serious? Bible iwateje mpaka UKAWA! haya unahakika gani kwamba wanaozungumzwa hapo ni UKAWA na wala sio kikundi kingine?
 
Back
Top Bottom