MCHUMIPESA
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,088
- 259
Lowasa ni fisadi wala siyo wa kumzungumzia hana sifa za kuwa Rais.
fisadi ni mamaako na LOWASSA NI RAIS WAKO.KALALE
Lowasa ni fisadi wala siyo wa kumzungumzia hana sifa za kuwa Rais.
Lowasa ni fisadi wala siyo wa kumzungumzia hana sifa za kuwa Rais.
Hakika alina ubishi Magufuli ndie anayefaa katika nafasi ya uraisTuzungumze uhalisia tuache ushabiki wa kivyama. Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani anayefaa zaidi kuwa rais wa Tanzania.
Kiukweli niepushe mihemko yangu Magufuli anastaili kuvaa vuatu vya urais kuliko Lowassa
Nchi zilizoendelea Lowassa asingepaswa hata kuwa mjumbe
Lowasa ni fisadi wala siyo wa kumzungumzia hana sifa za kuwa Rais.
Nchi zilizo endelea mpaka muda huu CCM isingekuwepo kabisa. Achilia mbali kuwa na wana Chama wachache. Yaani Chama hicho kingefutwa kabisa.
Lowasa ni fisadi wala siyo wa kumzungumzia hana sifa za kuwa Rais.
Magufuli anapendeza kuwa kondakta wa Abood
Kiukweli niepushe mihemko yangu Magufuli anastaili kuvaa vuatu vya urais kuliko Lowassa
Tangu juzi kaibiwa sauti, kawa mpole balaa...Umenena ukweli usiopingika ana kelele nyingi kama konda wa dalala. Maneno mengi hula vitendo.