Tanzania umasikini Ume shuka kutoka 38% hadi 25%
Id yko inajieleza kua na jina la taifa la watu wenye akili..ila I think ww ni foolish kbsaMiaka 50 ya uongizi wao, tanzania ni maskini kuliko ilivyokua kabla ya uhuru, tofauti na bchi nyingine kama kenya, rwanda, namibia, nk. Halafu bado uongozi huo huo unaendelea mutoa ahadi za neema zijaxo... na sisi akina sheiza tunakubali tu..
Maisha bora kwa kila mtanzania... tunakubali pia....
ww unaonekana unaongea ili uongee..naomba ujumlishe idadi za watu wote lyk nchi Iyo tuone kama inafikia hata nusu ya watanzaniaOkay, unaweza kuwa sahihi kwa takwimu hizo.
Ila kwa utajiri tulionao Tanzania, hatutakiwi kuzungmzia umaskini, tunatakiwa kuwa tunazungumia utajiri.
Yaani tuzungumzie utajiri umeongezeka kwa kiasi cha asilimia fulani.... sio umaskini.
Tanzaia ina utajiri mkubwa sana kuliko nchi zote za afrika isipokuwa Congo DRC.
Lakini Tanzania ndio nchi mojawapo maskini sana barani afrika.
Yaani tunashidwa kwa utajiri na 'vi-nchi' kama Rwanda, Namibia, Botswana,.nk.
ww unaonekana unaongea ili uongee..naomba ujumlishe idadi za watu wote lyk nchi Iyo tuone kama inafikia hata nusu ya watanzania
Okay, unaweza kuwa sahihi kwa takwimu hizo.
Ila kwa utajiri tulionao Tanzania, hatutakiwi kuzungmzia umaskini, tunatakiwa kuwa tunazungumia utajiri.
Yaani tuzungumzie utajiri umeongezeka kwa kiasi cha asilimia fulani.... sio umaskini.
Tanzaia ina utajiri mkubwa sana kuliko nchi zote za afrika isipokuwa Congo DRC.
Lakini Tanzania ndio nchi mojawapo maskini sana barani afrika.
Yaani tunashidwa kwa utajiri na 'vi-nchi' kama Rwanda, Namibia, Botswana,.nk.
Tuchukue nchi ya Afrika Kusini. Nchi hiiina idadi ya watu milioni 55 (zaidi kidogo ya Tanzania).
Tanzania ina utajiri mkubwa sana (rudisneno 'mkubwa sana') kuliko Afrika Kusini...!!!
Sasa niambie, kati ya Tanzania na AfrikaKusini ni nchi gani imeendelea kuliko nyingine??
Mfano mwingine ni nchi ya Kenya yenye idadiya watu takribani sawa na Tanzania, halafu Kenya ndio kabisa haina utajiri wowote ule, ila imeendelea kuliko Tanzania...!!
Tatizo la Tanzania ni uongozi m-bovu sana-sana..
Upo hapo...??
Je wajua..??
- Kuwa Tanzania kwa ukubwa wa eneo la ardhi ni kubwa kuliko Nigeria..?? Tanzania ina raslimali kubwa sana za gesi na mafuta kuliko Nigeria..??
- Kuwa Tanzania kwa ukubwa wa eneo la ardhi ni kubwa kuliko Kenya, Uganda,Rwanda na Burundi kwa pamoja (combined)..??
- Kuwa Tanzania ina ardhi nzuri na kubea saaana-sana kwa kilimo kuliko nchi yoyote afrika mashariki...??
Hapo vipi...??
Mtoa mada njoo tuhesabie kuraa
Ukawa wanaongoza kwa zaidi ya 90%