mkubwakaka
Member
- Jul 11, 2015
- 6
- 1
1ukawa/chadema
1ukawa/chadema
Hapa kazi tu, tingatinga oyeeeeeeeCCM wanatuaminisha kuwa watatawala milele hiyo haiwezekani
Miaka 50 ya uongizi wao, tanzania ni maskini kuliko ilivyokua kabla ya uhuru, tofauti na bchi nyingine kama kenya, rwanda, namibia, nk. Halafu bado uongozi huo huo unaendelea mutoa ahadi za neema zijaxo... na sisi akina sheiza tunakubali tu..
Maisha bora kwa kila mtanzania... tunakubali pia....