UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Binafs maamuzi nshafanya nasubir tu kuthibitisha, labda Yesu arudi kabla ya 25 oct vinginevyo najua mwnyw
 
Kuwepo na kampeni au zisiwepo lakini watanzania wanajua nini cha kuamua tar 25 October!Matatizo yao na shida zao za siku nyingi ndio majawabu yaa maamuzi yao.Rais wao wanamjua.
Narudia!"Watanzania wanajua kila kitu wanasubiri tu October 25 waamue"

Mkuu nimepata habari kuwa tume ya taifa ya uchaguzi imeingilia kati na manispaa ya ilala wameruhusu viwanja vya jangwani kutumika na ukawa/cdm kuzindua kampeini
 
CCM wanatuaminisha kuwa watatawala milele hiyo haiwezekani
 
Mkuu nimepata habari kuwa tume ya taifa ya uchaguzi imeingilia kati na manispaa ya ilala wameruhusu viwanja vya jangwani kutumika na ukawa/cdm kuzindua kampeini
Kuna mtu nimewasiliana nae,ni rafki yangu mmoja tokea Msoma ni mwanasheria nae ana rafki yakebl mwanasheria wa CHADEMA amesema tume wameingilia kati wameruhusu mkutano kufanyika Jangwani.
 
Kuna mtu nimewasiliana nae,ni rafki yangu mmoja tokea Msoma ni mwanasheria nae ana rafki yakebl mwanasheria wa CHADEMA amesema tume wameingilia kati wameruhusu mkutano kufanyika Jangwani.

Nikweki hata mimi kuna mtu kani tweet kuwa tume wameingilia maana wameliona kuwa ni tishio kubwa sana
 
Mkuu nimepata habari kuwa tume ya taifa ya uchaguzi imeingilia kati na manispaa ya ilala wameruhusu viwanja vya jangwani kutumika na ukawa/cdm kuzindua kampeini

Tanzanians are fucken tired, wanajua hawahitaji maneno mengi

Msomi yyt hajitaji Maelezo mengi, maskini nae hajitaji ashajionea
 
Mbekenyera na matambalale hadi rucheregwa ni lowasa
Mkuu Mmawia nikuulize Swali; Hivi ukienda mtaani vijiweni kule kwenye vibanda vya magazeti, kahawa,stand za magar nk, hivi ni mgombea gani anazungumzwa sana na wananchi? Ni mgombea gani unaona hata aibu kumzungumzia utachambwa na kuchewa? Maana kuna hali flani naiona hivi vijiweni huko.
 
Mkuu kwa sasa mgombea anayetajwa sana na kuonekana yupo mioyoni mwa wananchi wengi na hata vijijini ni lowasa kuwa ndiye rais ajaye hilo ni kwa lika zoote,na ukitaka uchekwe,uzomewe basi taja mgombea wa ccm nakwambia utazomewa hadi utaona aibu na kujutia
 
piga kura

linda kura

kuna mod wa JF anakaribia kupata kishipa ... kwa hasira
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom