UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Mambo ya mitandao bwana namkumbuka Sanane alivyojiamini mwishowe kaambulia kura 26
 
pressure ya nini;

tarehe 25 sio mbali;

JF IMEKUWA BIAS KWA BAADHI YA VYAMA

kura aina picha wala alama za vyama
:

Hizi ni kura za mihemuko- tukutane oct.

Kuna
adc
act wazalendo
n.k

mod kuwa fair weka vyama vyote sio ; ukawa sio chama .


is
 
Kuwepo na kampeni au zisiwepo lakini watanzania wanajua nini cha kuamua tar 25 October!Matatizo yao na shida zao za siku nyingi ndio majawabu yaa maamuzi yao.Rais wao wanamjua.
Narudia!"Watanzania wanajua kila kitu wanasubiri tu October 25 waamue"
 
Yes sir trus me freedom its coming to October IN LOWASSA TANZANIA PEOPLE WE TRUST.


swissme
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom