UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Aya mambo ya like za mitandaoni yalimfanya ben saa8 ajione tayari mbunge
 
Nimefanya kauchunguzi kadogo tu,kila ninaemuuliza anasema safari hii CCM watashindwa vibaya sana ,hakuna hata mmoja ambae alisema Ukawa itaangukia pua .wote wanasikitika kuwa mwisho wa CCM kuikandamiza tanzania umefikia mwisho ,kuna waliokwenda mbali na kusema hili CCM ni chama kilichotona na vyama vya kupigania uhuru hivyo ,kikae pembeni.

Haya UKAWA njia nyeupe hiyo ! Kule kwengine nako yule Samia Suluhu baadda ya kuwaahidi kupatia hela vijiji ,watu walipiga hesabu za haraka haraka na kuona wanadanganywa mchana kweupe ,aloo walirudisha na si kurudisha walizitupa kadi za CCM mbele yake huku mshika spika ya mkononi akianzisha wimbo maarufu Lowasa nnavyokupenda nitaludisha kadi ya ccm kwa ajili yako.

Ninachowasihi CCM wasihuzunike sana hadi kupata msukumo wa damu ni hatari ,hatari inayowakabili wasipo angalia wanaweza kufa kama nzige waliopulizwa dawa.

Wananchi wameamua kuihukumu CCM kwa kuiondoa madarakani ndio mkamsikia Magufuli akiwaomba wananchi wasifanye hivyo.
 
thread haina uhai mrefu. pia edit heading yako kuna pahala umekosea
 
Magufuli ni Lofa na Mpumbavu. Hawezi kuwa Rais wa Tanzania hata kidogo. Jana Kikwete amewaingiza mkenge wenzake. Aliamua kufanya party ya kukabidhi Ilani ya Chama kwa magufuli pasipo kuwaambia malofa waliomzunguka akijua wazi kwamba tayari kimesha nuka. Wapumbavu hawakuelewa somo.
 
sitakuacha upotee

Mods wamegoma kukuweka hapo juu ili watu wapige kura, so nitakuleta juu mpaka mtu ale limao za kufa mtu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom