UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Nitaiweka hapo juu mpaka mtu apate mshipa wa ngiri



Kabisaaa... Lowassa, Ukawa.. ndio chaguo letu, sie TUNAITWA MAPUMBAVU NA MALOFAAAAAAAAAA

WATAJUA SASA, SISI NI NANI... inauma sana...

Na iweke ikae hapo juu, wakomee..

Mods wanatufanyia ndivyo sivyo
 
True... ila MODS wote ni CCM siku hizi.. ndio tatizo... JF is gone these days to dogs...!!!

Ila ingekuwa Magufuli anaongoza hapa wangeweka sticky hapo juu...

MODS ni CCM wote... very annoying...

Lowassa, Ukawa ni mpango wa Mungu...

Mtakoma, mbona hapa bado hajaanza rasmi kampeni
Nimem PM Invisible kuhusu kuifanya hii thread sticky hadi nimechoka, hata Active na Moderator nao wamepiga kimya;
Nilim Cc hadi Maxence Melo lakini naona wamekataa kabisa kuifanya hii thread sticky, sijui tatizo liko wapi!!!
 
Last edited by a moderator:
Kabisaaa... Lowassa, Ukawa.. ndio chaguo letu, sie TUNAITWA MAPUMBAVU NA MALOFAAAAAAAAAA

WATAJUA SASA, SISI NI NANI... inauma sana...

Na iweke ikae hapo juu, wakomee..

Mods wanatufanyia ndivyo sivyo

taratibu tu wataelewa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom