Sikushauri wewe, bali nakusaidia kama una uwezo wa kuwashauri hawa wagombea wawili, waambie wakurahisishie uamuzi wako kwa kubadilishana, Magufuli msafi agombee UKAWA na Lowassa mchafu agombee CCM. Nadhani hapo utaweza kuondoka hapo njia panda ulipo sasa, la sivyo mafuriko yatakukumba tu, 'tafakari na chukua hatua'
mkuu, kwa hizo hasira unaweza kuweka tick kwa Lowassa then kwa Magufuli ukamtoboa macho. Utakuwa umeharibu. Mi nadhani ukitumia busara + hasira= √ kwa Lowassa.Sisi tunaitwa wavuta bangi na wanywa viroba wakati mimi ni mwalimu? Hii ccm hiii. Nitabiga kura ya HASIRA oct 25. Pipooziiii
mkuu, kwa hizo hasira unaweza kuweka tick kwa Lowassa then kwa Magufuli ukamtoboa macho. Utakuwa umeharibu. Mi nadhani ukitumia busara + hasira= √ kwa Lowassa.
Nani kumbeza mwenzie baada ta oktober 25