UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
lowasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Punguza hasira kaka,ikulu ya kwake
 
Ndugu watanazania wenzangu enyi mlioko upande wa CCM naomba kura zenu pelekeni ukawa hiyo october 25 eb tuache utani, mizaha, na ushabiki kama wa Simba na Yanga, hapa tunazungumzia maisha tunazungumzia mstakabari wa taifa letu Tanzania ni yetu sote ikiharibika tunaathirika sote na ikistawi tunanufaika sote nazani zimezungumzwa hoja nyingi sana toka zianze kampeni wote mmesikia na naamini mmeelewa sema mmebaki na ushabiki tu.

Naomba kura zenu pelekeni kwa wagombea wa ukawa ili tumwangushe huyu mdudu hatari ccm anaeitafuna nchi yetu naomba kura zenu zote.
 
Mkuu una akili sana,na watakaokuelewa na waliochoshwa na wizi wa mali za umma,kodi zao,ahadi za uongo na usanii wa miaka zaidi ya 50 watakuelewa nifah
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom