Ccm sasa hivi wanatumia pesa nyingi kutaka kuwaghilibu wa Tanzania waamini kua Magufuli anakubalika zaidi. Hapo ni kujidanganya wenyewe.
Wananchi wengi wapiga kura mwaka huu ni vijana ambao walau wanajitambua na kuelewa mambo,huwezi kumdanganya kirahisi hivyo.
Lakini waheshimiwa wote tulo mpigia kura mzee lowasa mnakadi za mpigia kura na mtakuwa maeneo yenu mliojiandikishia? Isije tukapunguza kura kwa mheshimiwa lowasa! Ningeomba tu kila mmoja ajifanyie tathimini juu ya hilo coz huu ndo muda mwafaka wa maamzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.