Ukawa umeundwa na watu walioshindwa

Ukawa umeundwa na watu walioshindwa

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Katika hali ya kushangaza Jumuia ya UKAWA imeundwa na watu walioferi katika kila kitu cha mafanikio waliwahi kufanya! Ukitoa maalimu Seif ambaye mpaka sasa rekodi yake bado haijavunjwa pale University of Dar es salaam na amefanikisha muuafaka Zanzibar na atakumbukwa kwa mafanikio!

1. Mh. Mbowe,Historia yake ya Elimu kitendawili,mwenye uchu wa madaraka kupelekea kuundwa kwa kambi ya upinzani bila ya wabunge wengine wa upinzani, kumvuluga chama kwa fukuza fukuza bila mpango.
2.mzee wetu Mwenyekiti wa CUF mshauri wa maswala ya uchumi enzi za Mwinyi prof.lipumba hope mnajua alichokifanya na kule Uganda hali pia ilikuwa tete kupeleka sarafu ya Uganda kuporomoka. Kugombea urais mara nyingi bila kukubalika na bado yumo tu na hisi 2015 atagombea tena.
3.mbatia hahaha!! huyu anamengi ila moja ni huyu jamaa alishindwa Ubunge akabwagwa na Halima mdee!

Huu ndio ukawa achilia mbali wajumbe wengine Tanzania ipo kazi kweli tusali sana CCM itawale mpaka hiki kizazi kiishe upinzani uje na watu Wapya tuwape nchi!

3
 
Heading yako na intro zinathibitisha kwamba si mtu makini, bila shaka uko mbali na uelewa wa mambo hata unayotaka yajadiliwe.

Kama huwezi kuandika vizuri, utaweza kujenga hoja nzuri kwa kuandika, kweli?

Kwa namna ulivyoandika, unaamanisha kuwa hao viongozi wako feri, ambapo inaweza kuwa Kigamboni, Kamanga, Kome, Kigongo au pale Bandarini!

Ni lugha ya utani
 
Nasikia Samwel Luhanga aliscore GPA ya 2.1 pale udsm.
 
Ukawa wote vilaza

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Wee jamaa ----- kwel,nahs na ww bado una tongo tongo machon zinazostahil kuoshwa kwa sabun yenye magad makal il upate kuona walau hata kdogo!na unastahl kuktana na watu wenye upeo wa mambo hil wakueleze ukwel wa mambo kuhus hii nchi!acha kukarirshwa na kutuletea mambo ya ccm hum ndan!kiukwel unanpa waswas juu ya uelewa wako!ka we kijana pole sana
 
Tatizo kubwa la Tanzania ni nani wa kuongoza nchi kama putin wa Urusi mwenye uzalendo wa hali ya juu na upendo! Na hii yote ni kipaji cha kuzaliwa kama hata vision tu ya muungano ukawa wameshindwa! Kuna tatizo na razima litatuliwe! Imefika muda sasa mambo yaende sawa na tumuache baba wa taifa apumzike kwa amani tumechoka kumsumbua baba wa Taifa
 
Katika hali ya kushangaza Jumuia ya UKAWA imeundwa na watu walioferi katika kila kitu cha mafanikio waliwahi kufanya! Ukitoa maalimu Seif ambaye mpaka sasa rekodi yake bado haijavunjwa pale University of Dar es salaam na amefanikisha muuafaka Zanzibar na atakumbukwa kwa mafanikio!

1. Mh. Mbowe,Historia yake ya Elimu kitendawili,mwenye uchu wa madaraka kupelekea kuundwa kwa kambi ya upinzani bila ya wabunge wengine wa upinzani, kumvuluga chama kwa fukuza fukuza bila mpango.
2.mzee wetu Mwenyekiti wa CUF mshauri wa maswala ya uchumi enzi za Mwinyi prof.lipumba hope mnajua alichokifanya na kule Uganda hali pia ilikuwa tete kupeleka sarafu ya Uganda kuporomoka. Kugombea urais mara nyingi bila kukubalika na bado yumo tu na hisi 2015 atagombea tena.
3.mbatia hahaha!! huyu anamengi ila moja ni huyu jamaa alishindwa Ubunge akabwagwa na Halima mdee!

Huu ndio ukawa achilia mbali wajumbe wengine Tanzania ipo kazi kweli tusali sana CCM itawale mpaka hiki kizazi kiishe upinzani uje na watu Wapya tuwape nchi!

3

Na ndani yake kuna wahaini ambao walitakiwa wawe wameshakula kitanzi.
 
Back
Top Bottom