UKAWA umepoteza dira?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
13,729
14,159
Vuguvugu la katiba lililounda UKAWA limeishia wapi? Kumbe lilikuwa dili la kwenda mjengoni na Ikulu tu. Hamna lolote kabisa! msije kwetu tena kutugeuza mapunda yenu ya kuwabeba kwenda mjengoni.
 
Kwa Idd |Amin, Bokasa, Nguema, Mobutu, Kagame, Museveni, Nkurunzinza lazima ujipange.
 
Vuguvugu la katiba lililounda UKAWA limeishia wapi? Kumbe lilikuwa dili la kwenda mjengoni na Ikulu tu. Hamna lolote kabisa! msije kwetu tena kutugeuza mapunda yenu ya kuwabeba kwenda mjengoni.
Tunakuhurumia bure. Mungu akurehemu kwa kweli.
 
Kama kazi ya UKAWA inatimizwa na jpm akimtumia Bashite unataka ukawa wafanye nini zaidi, kilichobaki ni kuchochea kuni tu CD ikiisha tunabandika nyingine.
 
Mnapotoa post muhakikishe mnaelewa mnachosema, UKAWA haukuanzishwa kwa ajili ya uchaguzi, ilikuwa ni kwa ajili ya kudai katiba mpya, mwanzilishi ni lipumba Na pole pole,
 
Tunakuhurumia bure. Mungu akurehemu kwa kweli.
Ni heri ukose nidhamu kwa kudai katiba mpya bungeni kuliko kufikishwa kwenye kamati ya maadili kwa matusi ya kipumbavu ya kumtetea Wenje na Masha kwenda EALA, hii sio agenda kwa waliokuchagua kwenda bungeni, wacheni ujinga wenu. Wananchi watafaidikaje kwa wewe kufungiwa vikao 8 vya bunge kwa matusi ya kutetea watu waende EALA?
 
Unatia huruma sana.
 
Back
Top Bottom