Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,335
- 24,232
Yapo mengi mfano bajeti kandamizi kupita,VAT kwenye taasisi za fedha, maisha mtani kuwa magumu,inflation......Bunge limeisha na wabunge wamerudi majumbani au majimboni.
UKAWA wakiongozwa na Mbowe wa Chadema waliapa kutohudhuria Bungeni mpakabDr Tulia ang'oke.
Dr Tulia si tu bado aliendesha vikao vyote, bali kwa kudra ya Mola hata mafua hakupata hivyo kuhudhuria vikao vyote.
Kila msimamo lazima utsthminiwe, mimi nilikuwa Chadema hadi mafisadi walipokiteka nyara.
Midimamo ya kiuongozi sasa ni kama gari bove linaloharibikia barabarani na spana mkononi.
UKAWA/Mowe/Chadema hebu tupeni mrejesho wa mgomo bungeni.
Mkuu kutoshiriki utaita ni mafanikio?Yapo mengi mfano bajeti kandamizi kupita,VAT kwenye taasisi za fedha, maisha mtani kuwa magumu,inflation......
Ndio kwa sababu shida zetu zote za mwaka huu zimepitishwa na unaowapenda kuliko nafsi yakoMkuu kutoshiriki utaita ni mafanikio?
Faida ni yule Mwenye mgahawa pale Viwanja Vya bunge ameuza sana chai ,
Ukawa kazi tuliyokuwa nayo ni kunywa chai ,wakati wenzetu wakijadili mambo mazito wakiyotumwa na wapiga kura sina uakika kama kibajaji anajua maana ya neno VAT
Imeonyesha jinsi ganimlivoumbuka kwakupitisha bajet yenye mapato msiyoyajua halafu mnajichanganya kwa wananchi imeonyesha kumbe nani alikua mchawi na bado mtakavoumbuka na elimu yenu sijui ya memkwaBunge limeisha na wabunge wamerudi majumbani au majimboni.
UKAWA wakiongozwa na Mbowe wa Chadema waliapa kutohudhuria Bungeni mpakabDr Tulia ang'oke.
Dr Tulia si tu bado aliendesha vikao vyote, bali kwa kudra ya Mola hata mafua hakupata hivyo kuhudhuria vikao vyote.
Kila msimamo lazima utsthminiwe, mimi nilikuwa Chadema hadi mafisadi walipokiteka nyara.
Midimamo ya kiuongozi sasa ni kama gari bove linaloharibikia barabarani na spana mkononi.
UKAWA/Mowe/Chadema hebu tupeni mrejesho wa mgomo bungeni.
"Serikali isiyokusanya kodi, ni serikali corrupt"-By J.K.NyerereYapo mengi mfano bajeti kandamizi kupita,VAT kwenye taasisi za fedha, maisha mtani kuwa magumu,inflation......
"Serikali isiyokusanya kodi, ni serikali corrupt"-By J.K.Nyerere
Mrejesho huu kwani ni mafanikio ya UKAWA?VAT kwenye miamala ya benki na simu!
Dr. Tulia amezidi kujulikana
Nimeshaamini hapa JF bila neno - UKAWA/LOWASSA/CHADEMA Thready hazina mashiko! Yaani ukienda mpaka kwenye Thready za CHIT CHAT hutakosa kuona haya majina!Bunge limeisha na wabunge wamerudi majumbani au majimboni.