Mikakati ya UKAWA yavuja, soma hapa muhtasari wa kikao chao

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
mikakati ya UKAWA imevuja,soma hapa
MUHTASARI WA KIKAO CHA UKAWA-NJE CHA TAREHE 27-3-2014 MAKAO MAKUU YA CHADEMA
WALIOHUDHURIA:
1. DR. WILBROAD SLAA Katibu Mkuu CHADEMA
2. Eng. MOSENA J. NYAMBABE Katibu Mkuu NCCR-Mageuzi
3. Ndg. HAMISI HASSAN Kaimu Katibu Mkuu CUF
4. Ndg. BENSON KIGAILA Mjumbe
5. Ndg. WILFRED RWAKATALE Mjumbe
6. Ndg. FAUSTINE SUNGURA Mjumbe
7. Ndg. HASSAN RUHWANYA Mjumbe
8. Ndg. ABDUL KAMBAYA Mjumbe
9. Ndg. ABDALLAH PAKU Mjumbe
10. Ndg. MARCOSSY ALBAINE Mjumbe
WASIOHUDHURIA:
1. Maalim SEIF SHARIFF HAMAD – Kwa taarifa
AJENDA:
Kimsingi kikao kilikuwa cha dharura na ajenda zilitegemewa kufikiwa kikaoni
AKIDI:
Kikao hakikuwa na akidi maalum kwa maana ya idadi ya wajumbe bali kilitegemea uwakilishi wa vyama vyote vitatu ambapo kimsingi uwakilishi huo ulitimia.
UFUNGUZI:
Kikao kilifunguliwa na Dr. Slaa akiwa kama mwenyeji na pia ikaamuliwa awe Mwenyekiti wa muda hadi pale ambapo wajumbe wataamua vinginevyo, ambapo pia alianza kwa kueleza lengo la kikao kuwa ni kujadili matukio yaliyotokea Bungeni Dodoma na umuhimu wa kuwa na platform nje ya Bunge ili kuwasaidia au kuongeza nguvu kwa wajumbe walioko Bungeni wanao unda UKAWA-Ndani.
Akasema uhalali wa kikao unatokana na consultations kutoka kwa viongozi wakuu wa Vyama vyetu, akadokeza kuwa upinzani Bungeni umekuwa na limitations kwa sababu ya kanuni za Bunge hilo na CCM wana jeshi kubwa ndani ya BMK. Na kuendelea kusema, lengo kubwa ni kwamba sisi vyama vitatu vilivyoanzia Jangwani japo tuna option ya kupanua wigo zaidi tuna mambo matatu ya msingi sana.
Jambo la kwanza, ni kwamba vyama vyote tuna hoja nzito toka zamani kwamba solution ya kero za muungano ni serikali tatu, vyama hivi vya siasa tumekuwa na msimamo mmoja.
Pili, ni kwamba kuna unafki ndani ya BMK, CCM wamekuwa wakitengeneza propaganda kuuchanganya umma.
Na jambo la tatu ni sisi tunafanya nini, kwa sababu;-
(i) Wao (CCM) wamemtumia Raisi kama M/Kiti wa chama chao cha siasa kuhutubia Bungeni, ukweli ni kuwa mambo haya yanachnganya maana kuna muda alianza kuongea kama Raisi baadae kama Mwenyekiti wa chama.
(ii) Wamefanikiwa kwani tulipokubaliana maridhiano tulikuwa tuna give in kila mara, wamerejesha kanuni 15 kinyemela wanataka kutuburuza hatuwezi kukubaliana
(iii) Wamechukua unyekiti wa kamati zote, kama kuna dhamira ya maridhiano wasingebeba zote, na nafasi zote 5 za uteuzi wamechukuwa zote isipokuwa ya Prof Lipumba na tunampongeza kwa kuikataa. Wapinzani tuliingia mtego kwa kumsifu Sitta kama candidate bora jambo ambalo si sawa. 6 amepewa maelekezo ya kulinda chama, pia kwa kumtumia Waziri mkuu CCM imeitisha mkutano na Wahariri wa Vyombo vyote vya Habari, serikali imeamua kuingilia kuingilia kati mchakato mzima hatuwezi kufumbia macho hili.
Siku kama tano nyuma Makamu wa Raisi kazindua msafara wa UVCCM wa bodaboda kufanya operation nchi nzima, tuamke, sasa basi tunataka kama vyama huku nje tumevumilia imetosha, tutapambane na tutoe tamko kuonya haya. TBC1 wanafanya kampeni kila siku wanaonesha viongozi wao wakitoa matamko mbalimbali, radio, magazeti vyote vina manipulate Watanzania, kwa mtindo huu kwenye kura za maoni tutapigwa.
(iv) Kuna mashinikizo dhidi ya Wabunge wa CCM ambao walikuwa na dhamira ya kuitetea Tanganyika, pia baadhi ya taasisi kama TGNP bado hawaelewi kinachotokea, tusipochukua hatua sasa tutalaumiwa na generation ijayo itatulaum, siasa ni game ya tusiwe nje ya muda, muda ukatuacha tukusanye nguvu zetu na resources urgently ili tuanze kupambana, Bungeni kuna UKAWA tuandae umoja wetu na sisi hapa nje. Wao ndani hawawezi kuratibu ya nje, wakifika point wanataka kuja nje wakute tumejipanga tusije tukakwama.
Tumekuwa tukipanga mikakati yetu kule Bungeni ina leak kwa kuanzia hapa nah ii framework tuanze kufanya thinking.
Akatoa updates ya kinachojiri Bungeni kwa muda ule tuko kwa kikao, pia akashauri kuwa Tume ya Warioba ina hasira na sisi kama Makatibu Wakuu tuangalie namna ambavyo tunaweza kuwashirikisha.
Naomba kuwasilisha.
MJADALA:
Benson Kigaila;- Nashukuru kwa sum up, huwezi kujadiliana na mwenye silaha bila kuwa na silaha atakuburuza, CCM tumewaachia muda sana kwa maana ya maridhiano, CCM hawako wengi kama wanavyosema wapo wengi Bungeni na sin je ya Bunge, napendekeza yafuatayo:-
(i) Tu network watu wasio kubaliana na hotuba ya Raisi
(ii) Tufanye mobilization ya watu ili kuwapa pressure CCM, then itajengea UKAWA wa ndani silaha tuta burgain sawa
(iii) Hatujaisema kwa kina hotuba ya Rais Kikwete kwa kuwaonesha Watanzania kwamba Raisi ame dishonest Rasimu ya Warioba.
(iv) Watanzania wajue tunachopigania ni nini
(v) Mawasiliano ya nje yasifanywe na Wabunge yafanywe na Viongozi wa vyama nje. Akatolea mfano wa Kabila kuonesha umuhim wa kuwa na silaha wakati wa majadiliano
(vi) Tufanye mikutano ya hadhara kuonesha kama tuna watu
Hamis Hassan;- Nashukuru kwa kuleta hoja hii, ipo haja ya kufanya tunachokusudia, tujiangalie sisi na tufanye analysis, Kikwete alirubuni baadhi ya taasisi, ila tuangalie tuna watu gani wanaotuunga mkono na tuwashirikishe vipi. Makundi yapo mengi labda yanaogopa, wanakosa pa kuanzia. Kuna haja ya Makatibu Wakuu tujue ipi ni impact ya bodaboda na tu pre empty mapema ili watu wajue mapema kinachofanyika ni propaganda.
Kuna taarifa zisizo rasmi za kuhesabu kura kwa kutumia mashine maalum za kuhesabu kura wakati wa referendum kupima kama zitafanikiwa kama Kenya, Zimbabwe etc, tuangalie namana ya kuunganisha na kushirikisha taasisi nyingine kwa kuanzia hapa Dar.
Wilfred Rwakatale;- Miminamini CCM siku zote si wakweli, kila hatua inayotokea haiji kwa bahati mbaya, wao wamedhamiria kupitisha katiba ya CCM na wanawatumia actors mbalimbali kama vijana ku bluff the public, wata ceaze system na mwisho katiba ya CCM itapatikana.
Napendekeza;
(i) Twende kwa speed kubwa mno kwa sababu wao they are on
(ii) Hatupaswi kuchelewa kama tunataka public ituelewe na tutumie combination zote kama vurugu uhuni ama la
(iii) Wao tuwaache wafanye vurugu ila wakute sisi tumekwishajipanga
(iv) Kwa kujipanga vyema inabidi big guns wa vyama vyetu lazima wawe front, tuanze na kundi kutoka kwa vigogo wa vyama vyetu ndio watoe go ahead.
(v) Tuunganishe bara na Zanzibar ili ionekane tuna mshikamano, Seif aje bara atoe neon ili tuwe na wimbo mmoja kati ya pande zote
(vi) Tusione aibu kucheza rafu, na iende sambamba na uboreshaji wa daftari kuelekea referendum. Wao wanatumia pesa kuwasafirisha watu wa pikipiki dawa ya moto ni moto wakipita wakute bodaboda pia zimeandaliwa katika mikoa husika
Kambaya;- Nataka kujuwa kama zinazotumika ni fedha za wafadhili, je hatuna namna ambayo tunaweza kufikia balozi na kuzieleza namna uhuni wa CCM unavyofanywa.
Dr. akajibu kuwa kuna mchezo hufanywa ambapo peas zile zimechanganywa na kuonekana kama si za wafadhili.
Rwakatale, akasema baadhi ya mabalozi wanakuwa linked na mfumo wa kifisadi ili kuwakata mdomo, ni vema kutumia caucus za mabalozi nchi za nje ili nchi zao ziweze kuwapa pressure.
Ikaazimiwa kutengeneza document proper itakayo circulate kwa mabalozi yote, mabalozi wengi hawana info ya kinachoendelea kwani hawasomi magazeti yetu wala hawahudhurii Bungeni, pia tuwaruke mabalozi ikiwezekana iende huko mbele, tufungue na tutumie avenues zote za kuleta pressure.
Mosena Nyambabe: Nakushukuru ndugu mwenyekiti pia na ndugu wajumbe niwashukuruni, pia kwa walionazisha wazo hili huko bungeni. Kwa kifupi tu ni kwamba mkutano tuliofanya jangwani na Zanzibar uliwafanya ao kukaa vikao takribani 43 kutafakari.
Napendekeza:
(i) Tuainishe mambo ya msingi yaliyo katika rasimu vitu ambavyo vitu ambavyo hatutaki viguswe kabisa tuvijue
(ii) Kuhusu suala la maridhiano viongozi wakuu wamwambie Kikwete tulikuabaliana kwa nia njema ila anakiuka makubaliano hivyo ategemee linaloweza kuja jitokeza
(iii) Tuangalie ni namna gani tunaweza kuelezea muungano vizuri ili wananchi waelewe na waujue.
(iv) Suala la katiba ya Zanzibar kuvunja katiba ya muungano tuangalie kama kuna loopholes wa viongozi kuweza kushitakiwa kwa kiongozi kuvunja katiba.
Michango mbalimbali ikatolewa mwisho ikaamuliwa kuwa Barua kwa Raisi iandikwe as a matter of formality
Marcossy Alabaine: Asasi za kiraia hazipo happy na mchakato unavyokwenda, asasi pia zimekuwa zikijiziwia kuwa zisionekane zipo affiliated na chama Fulani. Hapo awali tulikuwa tunawashambulia wanasiasa wote, baadae tukajuwa CCM ndio tatizo baadae tukagundua zaidi kuwa ni Raisi na kundi lake.
Wengi wa mabalozi walibanwa wasi support mchakato wa katiba kwa taasisi za kiraia, tulipofika ni kwamba taasisi zinaweza kusimama sasa, kwani zinaweza kuita taasisi nyingine zote na kutoa msimamo wao, nashauri kwa hoja hii tunahitaji wanaharakati ambapo wakizungumza wanaungwa mkono.
MAAZIMIO:
(i) Tumekuabaliana kufanya kazi pamoja
(ii) Muda ni huu
(iii) Tushirikishe network pana
(iv) Barua iandikwe as formality
(v) Analysis ya katiba ifanyike
(vi) Intelligence iundwe
(vii) Documents muhimu zianadaliwe
(viii) Tuunde technical committee
TECHNICAL COMMITTEE:
1. MARCOSSY ALBAINE
2. ABDUL KAMBAYA
3. HAMISI HASSAN
4. BENSON KIGAILA
5. JOHN MALLYA
6. HASSAN RYHWANYA
7. FAUSTINE SUNGURA

Like ·
 
So far sijaelewa the logic behind CCM kuhangaika na UKAWA ikiwa mmeachiwa bunge la katiba mpitishe mtakacho...... The vote of the so called wananchi ndiyo mwisho. Kila mjumbe anasema wananchi wake wamemtuma wanataka serikali 2.. basi si msubiri KURA ya mwisho itakayopigwa na hao hao wananchi... Tanganyika is on its way....
 
ja, hakuna hujuma hapo wala jambo la siri. Ni vyema watawala na wananchi tumejua kumbe UKAWA imesimama kwa maslahi ya wananchi kupata KATIBA na si kusaka uongozi kama viongozi wetu wa CCM wanavyotuhubiria. Tunawaombea nguvu, afya na ujasiri ili waweze kupaza sauti zetu kabla hatujahujumiwa.
 
Wakiwshilikisha Tume ya Jaji Warioba watakuwa wamefanya kosa kubwa la kiufundi manake hapo CCM ndo lazima wapate la kusema kwamba Tume ya Jaji Warioba ilikuwa inafanya kazi kwa ajili ya kundi fulani na wakalazimisha king kuhakikisha maslahi ya kundi hilo yanafanikiwa no matter what! Na kundi hilo, CCM wataendelea, ni wanaichukia nchi yetu hivyo wakaamua kuitumia Tume pamoja na vyama vya upinzani!! UKAWA wasithubutu kufanya utoto kama huo... wataharibu kila kitu... kwani hata CCM wasipoongea hivyo, bado wataonekana wana kila sababu na haki ya kui-attack Tume with long knife!
 
Iwapo na kama UKAWA ni debe tupu mbona mwitikio wa CCM ni wa kutafuta njia ya kuizidi kete UKAWA utajionea kuwa HOJA HAZIJIBIKI ZILE.Hiini dhihirisho la kisayansi:FOR EVERY ACTION THERE IS AN EQUAL REACTION
CCM INAITIKIA NA KUIFUKUZIA UKAWA KULIKO INAVYOPAMBANA NA MAMBO NYET YA TAIFA LOTE HILI
BIG UP UKAWA ,YOU COULDNT BE MORE TIMELY
 
hii bado ilitakiwa iwekwe hapa ili tuendeleze mappambano, ila wewe mwehu unadhani imevuja
 
Sasa unahangaika nini wakati
umeshazijua mbinu za adui yako? Maana kujua mbinu za adui ni nusu ya
kushinda vita mwenzetu badala ya kujipanga unakuja kuweka wazi hapa je
adui yako akibadiri mbinu?

BACK TANGANYIKA
 
imevuja labda kutokana na mvua!! ccm watapigana sana lakini hawatashinda
 
kumbe ukawa wapo kwajili ya kuwasaidia wana nchi na vikao vyao wanataja wana nchi mungu wabariki. ccm wao wanapanga jinsi ya kugawana nchi mungu anazidi kuwaumbua :embarassed2:
 
Wakiwshilikisha Tume ya Jaji Warioba watakuwa wamefanya kosa kubwa la kiufundi manake hapo CCM ndo lazima wapate la kusema kwamba Tume ya Jaji Warioba ilikuwa inafanya kazi kwa ajili ya kundi fulani na wakalazimisha king kuhakikisha maslahi ya kundi hilo yanafanikiwa no matter what! Na kundi hilo, CCM wataendelea, ni wanaichukia nchi yetu hivyo wakaamua kuitumia Tume pamoja na vyama vya upinzani!! UKAWA wasithubutu kufanya utoto kama huo... wataharibu kila kitu... kwani hata CCM wasipoongea hivyo, bado wataonekana wana kila sababu na haki ya kui-attack Tume with long knife!
nop watakuwa hawajakosea sababu ukawa ni sauti ya wananchi na warioba ni mtetezi wa katiba ya wananchi kwahiyo hapo hakita haribika kitu
 
mafisadi wanafikiri akili za vijana wanao jitambua ambao ni wengi ni sawa na za babu zetu waliokuwa wanasema zidum fikra za mwenyekiti :embarassed2:
 
nawapa siri nyie ccm. mkitaka kuishinda UKAWA hebu rudini kwa wananchi na mjifanye kama hakuna kitu duniani kinaitwa upinzani. afu wasikilizeni wananchi wanahitaji nini MUWATIMIZIE NA MUWAJIBIKE INAVOPASWA. hapo sidhani kama kutakuwa na kitu kinaitwa upinzani sijui UKAWA. havitakuwepo tena.
kuna msemo usemao.. UKISHINDANA NA MLEVIIIIII... UJUE WEWEE NDIO UTAKUWA MLEVI ZAIDI:majani7::peace:
 
mikakati ya UKAWA imevuja,soma hapa
MUHTASARI WA KIKAO CHA UKAWA-NJE CHA TAREHE 27-3-2014 MAKAO MAKUU YA CHADEMA
WALIOHUDHURIA:
1. DR. WILBROAD SLAA Katibu Mkuu CHADEMA
2. Eng. MOSENA J. NYAMBABE Katibu Mkuu NCCR-Mageuzi
3. Ndg. HAMISI HASSAN Kaimu Katibu Mkuu CUF
4. Ndg. BENSON KIGAILA Mjumbe
5. Ndg. WILFRED RWAKATALE Mjumbe
6. Ndg. FAUSTINE SUNGURA Mjumbe
7. Ndg. HASSAN RUHWANYA Mjumbe
8. Ndg. ABDUL KAMBAYA Mjumbe
9. Ndg. ABDALLAH PAKU Mjumbe
10. Ndg. MARCOSSY ALBAINE Mjumbe
WASIOHUDHURIA:
1. Maalim SEIF SHARIFF HAMAD – Kwa taarifa
AJENDA:
Kimsingi kikao kilikuwa cha dharura na ajenda zilitegemewa kufikiwa kikaoni
AKIDI:
Kikao hakikuwa na akidi maalum kwa maana ya idadi ya wajumbe bali kilitegemea uwakilishi wa vyama vyote vitatu ambapo kimsingi uwakilishi huo ulitimia.
UFUNGUZI:
Kikao kilifunguliwa na Dr. Slaa akiwa kama mwenyeji na pia ikaamuliwa awe Mwenyekiti wa muda hadi pale ambapo wajumbe wataamua vinginevyo, ambapo pia alianza kwa kueleza lengo la kikao kuwa ni kujadili matukio yaliyotokea Bungeni Dodoma na umuhimu wa kuwa na platform nje ya Bunge ili kuwasaidia au kuongeza nguvu kwa wajumbe walioko Bungeni wanao unda UKAWA-Ndani.
Akasema uhalali wa kikao unatokana na consultations kutoka kwa viongozi wakuu wa Vyama vyetu, akadokeza kuwa upinzani Bungeni umekuwa na limitations kwa sababu ya kanuni za Bunge hilo na CCM wana jeshi kubwa ndani ya BMK. Na kuendelea kusema, lengo kubwa ni kwamba sisi vyama vitatu vilivyoanzia Jangwani japo tuna option ya kupanua wigo zaidi tuna mambo matatu ya msingi sana.
Jambo la kwanza, ni kwamba vyama vyote tuna hoja nzito toka zamani kwamba solution ya kero za muungano ni serikali tatu, vyama hivi vya siasa tumekuwa na msimamo mmoja.
Pili, ni kwamba kuna unafki ndani ya BMK, CCM wamekuwa wakitengeneza propaganda kuuchanganya umma.
Na jambo la tatu ni sisi tunafanya nini, kwa sababu;-
(i) Wao (CCM) wamemtumia Raisi kama M/Kiti wa chama chao cha siasa kuhutubia Bungeni, ukweli ni kuwa mambo haya yanachnganya maana kuna muda alianza kuongea kama Raisi baadae kama Mwenyekiti wa chama.
(ii) Wamefanikiwa kwani tulipokubaliana maridhiano tulikuwa tuna give in kila mara, wamerejesha kanuni 15 kinyemela wanataka kutuburuza hatuwezi kukubaliana
(iii) Wamechukua unyekiti wa kamati zote, kama kuna dhamira ya maridhiano wasingebeba zote, na nafasi zote 5 za uteuzi wamechukuwa zote isipokuwa ya Prof Lipumba na tunampongeza kwa kuikataa. Wapinzani tuliingia mtego kwa kumsifu Sitta kama candidate bora jambo ambalo si sawa. 6 amepewa maelekezo ya kulinda chama, pia kwa kumtumia Waziri mkuu CCM imeitisha mkutano na Wahariri wa Vyombo vyote vya Habari, serikali imeamua kuingilia kuingilia kati mchakato mzima hatuwezi kufumbia macho hili.
Siku kama tano nyuma Makamu wa Raisi kazindua msafara wa UVCCM wa bodaboda kufanya operation nchi nzima, tuamke, sasa basi tunataka kama vyama huku nje tumevumilia imetosha, tutapambane na tutoe tamko kuonya haya. TBC1 wanafanya kampeni kila siku wanaonesha viongozi wao wakitoa matamko mbalimbali, radio, magazeti vyote vina manipulate Watanzania, kwa mtindo huu kwenye kura za maoni tutapigwa.
(iv) Kuna mashinikizo dhidi ya Wabunge wa CCM ambao walikuwa na dhamira ya kuitetea Tanganyika, pia baadhi ya taasisi kama TGNP bado hawaelewi kinachotokea, tusipochukua hatua sasa tutalaumiwa na generation ijayo itatulaum, siasa ni game ya tusiwe nje ya muda, muda ukatuacha tukusanye nguvu zetu na resources urgently ili tuanze kupambana, Bungeni kuna UKAWA tuandae umoja wetu na sisi hapa nje. Wao ndani hawawezi kuratibu ya nje, wakifika point wanataka kuja nje wakute tumejipanga tusije tukakwama.
Tumekuwa tukipanga mikakati yetu kule Bungeni ina leak kwa kuanzia hapa nah ii framework tuanze kufanya thinking.
Akatoa updates ya kinachojiri Bungeni kwa muda ule tuko kwa kikao, pia akashauri kuwa Tume ya Warioba ina hasira na sisi kama Makatibu Wakuu tuangalie namna ambavyo tunaweza kuwashirikisha.
Naomba kuwasilisha.
MJADALA:
Benson Kigaila;- Nashukuru kwa sum up, huwezi kujadiliana na mwenye silaha bila kuwa na silaha atakuburuza, CCM tumewaachia muda sana kwa maana ya maridhiano, CCM hawako wengi kama wanavyosema wapo wengi Bungeni na sin je ya Bunge, napendekeza yafuatayo:-
(i) Tu network watu wasio kubaliana na hotuba ya Raisi
(ii) Tufanye mobilization ya watu ili kuwapa pressure CCM, then itajengea UKAWA wa ndani silaha tuta burgain sawa
(iii) Hatujaisema kwa kina hotuba ya Rais Kikwete kwa kuwaonesha Watanzania kwamba Raisi ame dishonest Rasimu ya Warioba.
(iv) Watanzania wajue tunachopigania ni nini
(v) Mawasiliano ya nje yasifanywe na Wabunge yafanywe na Viongozi wa vyama nje. Akatolea mfano wa Kabila kuonesha umuhim wa kuwa na silaha wakati wa majadiliano
(vi) Tufanye mikutano ya hadhara kuonesha kama tuna watu
Hamis Hassan;- Nashukuru kwa kuleta hoja hii, ipo haja ya kufanya tunachokusudia, tujiangalie sisi na tufanye analysis, Kikwete alirubuni baadhi ya taasisi, ila tuangalie tuna watu gani wanaotuunga mkono na tuwashirikishe vipi. Makundi yapo mengi labda yanaogopa, wanakosa pa kuanzia. Kuna haja ya Makatibu Wakuu tujue ipi ni impact ya bodaboda na tu pre empty mapema ili watu wajue mapema kinachofanyika ni propaganda.
Kuna taarifa zisizo rasmi za kuhesabu kura kwa kutumia mashine maalum za kuhesabu kura wakati wa referendum kupima kama zitafanikiwa kama Kenya, Zimbabwe etc, tuangalie namana ya kuunganisha na kushirikisha taasisi nyingine kwa kuanzia hapa Dar.
Wilfred Rwakatale;- Miminamini CCM siku zote si wakweli, kila hatua inayotokea haiji kwa bahati mbaya, wao wamedhamiria kupitisha katiba ya CCM na wanawatumia actors mbalimbali kama vijana ku bluff the public, wata ceaze system na mwisho katiba ya CCM itapatikana.
Napendekeza;
(i) Twende kwa speed kubwa mno kwa sababu wao they are on
(ii) Hatupaswi kuchelewa kama tunataka public ituelewe na tutumie combination zote kama vurugu uhuni ama la
(iii) Wao tuwaache wafanye vurugu ila wakute sisi tumekwishajipanga
(iv) Kwa kujipanga vyema inabidi big guns wa vyama vyetu lazima wawe front, tuanze na kundi kutoka kwa vigogo wa vyama vyetu ndio watoe go ahead.
(v) Tuunganishe bara na Zanzibar ili ionekane tuna mshikamano, Seif aje bara atoe neon ili tuwe na wimbo mmoja kati ya pande zote
(vi) Tusione aibu kucheza rafu, na iende sambamba na uboreshaji wa daftari kuelekea referendum. Wao wanatumia pesa kuwasafirisha watu wa pikipiki dawa ya moto ni moto wakipita wakute bodaboda pia zimeandaliwa katika mikoa husika
Kambaya;- Nataka kujuwa kama zinazotumika ni fedha za wafadhili, je hatuna namna ambayo tunaweza kufikia balozi na kuzieleza namna uhuni wa CCM unavyofanywa.
Dr. akajibu kuwa kuna mchezo hufanywa ambapo peas zile zimechanganywa na kuonekana kama si za wafadhili.
Rwakatale, akasema baadhi ya mabalozi wanakuwa linked na mfumo wa kifisadi ili kuwakata mdomo, ni vema kutumia caucus za mabalozi nchi za nje ili nchi zao ziweze kuwapa pressure.
Ikaazimiwa kutengeneza document proper itakayo circulate kwa mabalozi yote, mabalozi wengi hawana info ya kinachoendelea kwani hawasomi magazeti yetu wala hawahudhurii Bungeni, pia tuwaruke mabalozi ikiwezekana iende huko mbele, tufungue na tutumie avenues zote za kuleta pressure.
Mosena Nyambabe: Nakushukuru ndugu mwenyekiti pia na ndugu wajumbe niwashukuruni, pia kwa walionazisha wazo hili huko bungeni. Kwa kifupi tu ni kwamba mkutano tuliofanya jangwani na Zanzibar uliwafanya ao kukaa vikao takribani 43 kutafakari.
Napendekeza:
(i) Tuainishe mambo ya msingi yaliyo katika rasimu vitu ambavyo vitu ambavyo hatutaki viguswe kabisa tuvijue
(ii) Kuhusu suala la maridhiano viongozi wakuu wamwambie Kikwete tulikuabaliana kwa nia njema ila anakiuka makubaliano hivyo ategemee linaloweza kuja jitokeza
(iii) Tuangalie ni namna gani tunaweza kuelezea muungano vizuri ili wananchi waelewe na waujue.
(iv) Suala la katiba ya Zanzibar kuvunja katiba ya muungano tuangalie kama kuna loopholes wa viongozi kuweza kushitakiwa kwa kiongozi kuvunja katiba.
Michango mbalimbali ikatolewa mwisho ikaamuliwa kuwa Barua kwa Raisi iandikwe as a matter of formality
Marcossy Alabaine: Asasi za kiraia hazipo happy na mchakato unavyokwenda, asasi pia zimekuwa zikijiziwia kuwa zisionekane zipo affiliated na chama Fulani. Hapo awali tulikuwa tunawashambulia wanasiasa wote, baadae tukajuwa CCM ndio tatizo baadae tukagundua zaidi kuwa ni Raisi na kundi lake.
Wengi wa mabalozi walibanwa wasi support mchakato wa katiba kwa taasisi za kiraia, tulipofika ni kwamba taasisi zinaweza kusimama sasa, kwani zinaweza kuita taasisi nyingine zote na kutoa msimamo wao, nashauri kwa hoja hii tunahitaji wanaharakati ambapo wakizungumza wanaungwa mkono.
MAAZIMIO:
(i) Tumekuabaliana kufanya kazi pamoja
(ii) Muda ni huu
(iii) Tushirikishe network pana
(iv) Barua iandikwe as formality
(v) Analysis ya katiba ifanyike
(vi) Intelligence iundwe
(vii) Documents muhimu zianadaliwe
(viii) Tuunde technical committee
TECHNICAL COMMITTEE:
1. MARCOSSY ALBAINE
2. ABDUL KAMBAYA
3. HAMISI HASSAN
4. BENSON KIGAILA
5. JOHN MALLYA
6. HASSAN RYHWANYA
7. FAUSTINE SUNGURA

Like ·

Tanzania kwanza nao walete mkakati wao, ila nauhofia mkakati wa Tanzania kwanza unaweza ukawa umesheheni strategy za vitisho na jinsi ya kuhujumu UKAWA na hata kuwapiga mabomu
 
nop watakuwa hawajakosea sababu ukawa ni sauti ya wananchi na warioba ni mtetezi wa katiba ya wananchi kwahiyo hapo hakita haribika kitu
Tatizo sio Warioba kutetea katiba tatizo ni namna gani anatetea! Ikiwa ni kuitetea Rasimu, anachotakiwa Warioba ni kuitetea at the right time and at the right place na sio kwenye mikutano akiwa ameongozana na UKAWA!
 
Back
Top Bottom