Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,108
- 25,985
Bunge limeisha na wabunge wamerudi majumbani au majimboni.
UKAWA wakiongozwa na Mbowe wa CHADEMA waliapa kutohudhuria Bungeni mpaka Dr Tulia ang'oke.
Dr Tulia si tu bado aliendesha vikao vyote, bali kwa kudra ya Mola hata mafua hakupata hivyo kuhudhuria vikao vyote.
Kila msimamo lazima utsthminiwe, mimi nilikuwa CHADEMA hadi mafisadi walipokiteka nyara.
Midimamo ya kiuongozi sasa ni kama gari bove linaloharibikia barabarani na spana mkononi.
UKAWA/Mowe/CHADEMA hebu tupeni mrejesho wa mgomo bungeni.