britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,288
- 33,948
Tatizo pekee tulilonalo watanzania ni kutumia nguvu kubwa kutengeneza jambo alafu tunaharibu dakika za mwisho, wakati huu ulikuwa wakati mzuri wa kujiandaa kwa 2020 au 2025 lakini ubovu ni kuwa nyie ni matapeli sio wanasiasa wa ukweli, siasa mnafanyia biashara.
Uhakika nilionao, nguvu mnazowekeza katika siasa mngekuwa mmeshapata hata mwaka mmoja Ikulu, ila tatizo mnachanganya uhuni na siasa, wananchi wanataka watu wa kuwatetea na kusema kweli sijaona kama mnampango mwingine tofauti na Lowassa ambaye alishajitangaza tokea mwaka juzi kuwa ndiyo atagombea.
Angalau msimamishe Hashim Rungwe, au mshawishi wengine wajiunge UKAWA lakini wawe waadilifu siyo Lowassa mwana wa CCM
Bila kuwa makini mtaendelea kuwa wapinzani milele