UKAWA tafuteni wagombea imara tuwape kura

Hizo kashfa zako subiri ukatoe maelezo maana siku si nyingi utakamatwa maana tunakujua vizuri. Kumbuka unakashfu KITI cha Urais na adhabu yake inajulikana.
Ndicho mlicho baki nacho tu cha kutoa vitisho, mmeishiwa hoja, mmekosa majibu ya matatizo ya watanzania, sasa mlichobaki nacho ni kutumia polisi, mahakamani basi.
Uwongozi si lelemama, inahitaji weledi, uvumilivu na busara
Tumekwisha wachoka ondokeniiiiiiii
 
Kutofikishwa mahakamani hakukuondolei ufisadi ulionao. Hata CCM kuna watu wa aina hiyo lakini hawajafikishwa mahakamani bado. Sifa ya Ufisadi haifi kwa kuwa hujafikishwa mahakamani. Isitoshe waliohubiri kuwa bwana yule ni Fisadi ni hao ndugu zako CHADEMA kwa miaka 8. Waulize wana mpango gani wa kumfikisha yeye mahakamani maana walisema wana ushahidi wa kutosha, mara ni heshima kubwa kwa Mola yeye akizomewa na kashfa kede kede. Utapata majibu huko CDM. CCM Tuliamua kuachana naye kwa kumkata kwenye nafasi ya Ugombea wa Urais. Hao wanachukua hatua gani? Waulize utajibiwa huko!!

na bado anaweza akawa fisadi, akaenda mahakani na akashinda....bado haimuondolei kuwa fisadi

Lowassa ni Fisadi baba lao sawa na CCM wengine wengi tu
 
kweli kabisa nilipania kupigia kura ukawa 2015 ila walipoliweka dubwasha lao lenye chembe chembe za ccm ckupiga hata hiyo kura.

2020 tafuteni mtu imara mkiliweka hilo dubwasha lenu kura yangu binafsi mmeikosa
 
Unalosema kweli UKAWA ni wahuni
 
Tatizo pekee tulilonalo watanzania ni kutumia nguvu kubwa kutengeneza jambo alafu tunaharibu dakika za mwisho, wakati huu ulikuwa wakati mzuri wa kujiandaa kwa 2020 au 2025 lakini ubovu ni kuwa nyie ni matapeli sio wanasiasa wa ukweli, siasa mnafanyia biashara.

Uhakika nilionao, nguvu mnazowekeza katika siasa mngekuwa mmeshapata hata mwaka mmoja Ikulu, ila tatizo mnachanganya uhuni na siasa, wananchi wanataka watu wa kuwatetea na kusema kweli sijaona kama mnampango mwingine tofauti na Lowassa ambaye alishajitangaza tokea mwaka juzi kuwa ndiyo atagombea.

Angalau msimamishe Hashim Rungwe, au mshawishi wengine wajiunge UKAWA lakini wawe waadilifu.

Bila kuwa makini mtaendelea kuwa wapinzani milele
Mkuu hapo kwenye red naona tayari JPM anafit sasa unataka nini tena?
 
Hii habari na imfikie Lwakatare, anachokifanya sahivi ni 'uhuni'. Anaishi kwa mazoea na kimizengwe ....wapinzani hatuwachukii ila kutulazimisha tumuelewe mtu kama Lwakatare inahitaji mtu uwe umepimwa uchizi
Lwakatare hatafanya chochote
 
Mawazo ya kijinga uanzia pale unapoenda kwa daktari unaumwa mkono lakin unamdanganya unaumwa kichwa, hivo hivo kwa UKAWA wanajua walikosea wapi wanasingizia kuibiwa kura, huo ni ujinga , sasa namshangaa MTU anayehisi kuna mambo ya kuibiana kura,
Haujalazimishwa ndugu. Peleka kura yako huko utakapoona panafaa.
 
2020 NEC sijui watafanyaje.. maana ccm haitabebeka kwa mbeleko yoyote ile!
 
Tatizo pekee tulilonalo watanzania ni kutumia nguvu kubwa kutengeneza jambo alafu tunaharibu dakika za mwisho, wakati huu ulikuwa wakati mzuri wa kujiandaa kwa 2020 au 2025 lakini ubovu ni kuwa nyie ni matapeli sio wanasiasa wa ukweli, siasa mnafanyia biashara.

Uhakika nilionao, nguvu mnazowekeza katika siasa mngekuwa mmeshapata hata mwaka mmoja Ikulu, ila tatizo mnachanganya uhuni na siasa, wananchi wanataka watu wa kuwatetea na kusema kweli sijaona kama mnampango mwingine tofauti na Lowassa ambaye alishajitangaza tokea mwaka juzi kuwa ndiyo atagombea.

Angalau msimamishe Hashim Rungwe, au mshawishi wengine wajiunge UKAWA lakini wawe waadilifu.

Bila kuwa makini mtaendelea kuwa wapinzani milele
Wew endelea tu kuwapa ccm!
 
Kuna mahakama ya mafisadi hadi sasa imekosa wateja. Kama Lowasa ni fisadi, mnaogopa nini kumpeleka huko mahakamani? Kama UKAWA kuna mafisadi, kwa ni ni ccm na serikali lyake isiwafikishe mahakamani? Mbona mnawaweka watu viziuzini kwa kuonta ndoto na kuwafungulia mashtaka kwa kusema uchwara?

Naomba uwe mkweli. Kwa nini LOWAWA HAMMPELEKI MAHAKAMANI HUKU MNABAKI KUIMBA NYIMBO KWAMBA NI FISADI?
 
Na ukiona LUMUMBA wanaanza kutafuta/ kufikiria na kuchangia hoja juu ya namna ya kuishinda kambi yao wenyewe.....! Twafa
 
Mkitaka UPINZANI uneemeke NI mbowe akae PEMBENI zije DAMU MPYA KABSA SIZOKUWA UWOGA na SURA YA MTU........Na huyo m/kiti atakayechaguliwa awe na UJASIRI kama wa KIKWETE wa chama kwanza mtu BADAE.....atleast mnaweza kuwa na UJASIRI wa kuitetemesha CCM 2020 KUELEKEA 2025.....vINGNEVYO MSAHAU kuindoa CCM madarakani
Hawataki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom