UKAWA sijui wanatumika na Serikali ama Mataifa ya nje

Ukawa mbona sisi wananchi wenye akili timamu tunawaelewa shida ipo kwa vilaza na ccm hiyo ndio furaha yao hamuelewi mpaka mshikwe makalio watoto wa kiume ndo mtaelewa mtu anataka nini.

UKAWA, hapo ndipo wanaonesha kuwa uwezo wao kifikra ni mdogo sana. Sisi tuko nyuma ya wabunge wanaoendelea na mchakato wa kupata bungeni.
 
matendo yangu unayajua wewe? Au unamaanisha nini?

Nafikiri labda ukichunguza vitu na mambo wadaiyo ni ya kiuchunguzi na kitaalamu, unaweza ukawa mtaalamu mchunguzi aliyegundua waaminishao mawazo yao ya kipuuzi kuwa ni ya kichunguzi na ya kitaalamu.

Labda umeshuka kwenye sayari tofauti, ila kama ulikuwa hapa Tanzania(ukipenda ita Tanganyika) na kwamba umjua mchakato wote wa kuanzia kukusanya maoni kwenye draft ya kwanza, na baadaye ya pili, kisha ukapata bahati ya kusikia kilichokua kinaendelea kwenye Bunge lililoitwa maalum, na ukapata nafasi ya kufikiri kwa kina, sina shaka ungeisha pata majibu kwamba ni nani kivuruge kwenye mchakato huu kati ya serikali na ukawa.

Kama nidhanivyo ni sahihi, nilidhani tungetakiwa kuwahoji watawala wetu kwanini wanabaka demokrasia,kudharau maoni ya wananchi walio wengi kwa sababu ya maslahi yao kisiasa? Nataka nijue hao watawala wanamtumikia nani, na kama ni serikali wanaitumikia serikali ya wapi isiyoheshimu taratibu na kanuni zilizoundwa kisheria!
 
hakuna mwisho mzuri maana hawawezi kushawishi wananchi kuikataa katiba hata wangekodi chopa elfu.

Yani bila wasiwasi katiba ya ccm haitapita znz sasa sijui Kwa ñn mnapoteza muda na fedha zetu, mchemba analijua hilo
 
Nafikiri labda ukichunguza vitu na mambo wadaiyo ni ya kiuchunguzi na kitaalamu, unaweza ukawa mtaalamu mchunguzi aliyegundua waaminishao mawazo yao ya kipuuzi kuwa ni ya kichunguzi na ya kitaalamu.

Labda umeshuka kwenye sayari tofauti, ila kama ulikuwa hapa Tanzania(ukipenda ita Tanganyika) na kwamba umjua mchakato wote wa kuanzia kukusanya maoni kwenye draft ya kwanza, na baadaye ya pili, kisha ukapata bahati ya kusikia kilichokua kinaendelea kwenye Bunge lililoitwa maalum, na ukapata nafasi ya kufikiri kwa kina, sina shaka ungeisha pata majibu kwamba ni nani kivuruge kwenye mchakato huu kati ya serikali na ukawa.

Kama nidhanivyo ni sahihi, nilidhani tungetakiwa kuwahoji watawala wetu kwanini wanabaka demokrasia,kudharau maoni ya wananchi walio wengi kwa sababu ya maslahi yao kisiasa? Nataka nijue hao watawala wanamtumikia nani, na kama ni serikali wanaitumikia serikali ya wapi isiyoheshimu taratibu na kanuni zilizoundwa kisheria!

hayo maoni yaliyodharauliwa ni YEPI wakati ni sura 2 tu zilijadiliwa? Tuambie ni sura ipi siyo maoni ya wananchi kati ya zilizojadiliwa?
 
Hiki kikosi cha Ukawa bado sikielewi vizuri kama kinatumiwa na Serikali ILI TUSIPATE katiba AMA kinatumiwa na Mataifa ya Nje ili KUVURUGA AMANI

Maana wanadai maoni ya rasimu ya katiba hayajadiliwi wakati ambao BMK lilikuwa haliendelei ni sawa na kumlalamikia refa wakati wa mapumziko kuwa haturudi uwanjani maana TUtachezewa rafu. Bunge limeanza wao wapo nje na bunge linaendelea na kanuni walizodai kuna vifungu waliongeza, bado wanaendelea kuongeza vingine.
UKAWA WATUELEZE WANATUMIKA NA NANI?

Mtachonga sana, ila mwisho mtarudi na kujiona wajinga kuwa hamuwezi kuandika katiba ya ccm kwa ajili ya Tanzania. Tujipe muda kwani mitu mijinga haioni vya mbali kabla ya kuvifikia!
 
Kwa nijuavyo mimi UKAWA wanatetea maslahi ya wananchi ili kupata katiba bora.
 
Mtachonga sana, ila mwisho mtarudi na kujiona wajinga kuwa hamuwezi kuandika katiba ya ccm kwa ajili ya Tanzania. Tujipe muda kwani mitu mijinga haioni vya mbali kabla ya kuvifikia!

mimi nataka kujua MNATUMIKA NA NANI?
 
Hiki kikosi cha Ukawa bado sikielewi vizuri kama kinatumiwa na Serikali ILI TUSIPATE katiba AMA kinatumiwa na Mataifa ya Nje ili KUVURUGA AMANI

Maana wanadai maoni ya rasimu ya katiba hayajadiliwi wakati ambao BMK lilikuwa haliendelei ni sawa na kumlalamikia refa wakati wa mapumziko kuwa haturudi uwanjani maana TUtachezewa rafu. Bunge limeanza wao wapo nje na bunge linaendelea na kanuni walizodai kuna vifungu waliongeza, bado wanaendelea kuongeza vingine.
UKAWA WATUELEZE WANATUMIKA NA NANI?

sirluta

afadhali umekubali kuwa mjinga (Prof Kabudi) kwa kutojua nani amewatuma UKAWA maana unaduwazwa na matokeo ya maamuzi wanayofanya. Ungejipata pabaya kwa kushupalia maamuzi ya UKAWA kama -------- (Prof Kabudi) Nikutakie kila la kheri kwa ujinga wako huu, bila shaka kuduwaa kwako hakutopotea bure.
 
UKAWA wanatumika na Babako, Mamako, Shangazio, Mumeo, Wadogo zako, wajomba zako, Mabuzi zako na Watanzania Wengi wenye kiu ya kuona Rasilima za nchi zinawanufaisha Kwanza kabla ya kuwanufaisha Wazungu ... CCM wanatumia na Mataifa ya Magharibi kunyofoa Vipengele Muhimu katka Rasimu ya katiba zikiwemo Tunu za Taifa ambazo kiuhalisia ni Muendelezo wa Azimio la Arusha lililo bemendwa znz!!!....Hope umeelimika mdada...
Umemaliza mkuu boya ataelewa tu just darasa la uraia kisha ataelewa huyo intarahamwe
 
sirluta

afadhali umekubali kuwa mjinga (Prof Kabudi) kwa kutojua nani amewatuma UKAWA maana unaduwazwa na matokeo ya maamuzi wanayofanya. Ungejipata pabaya kwa kushupalia maamuzi ya UKAWA kama -------- (Prof Kabudi) Nikutakie kila la kheri kwa ujinga wako huu, bila shaka kuduwaa kwako hakutopotea bure.

ila bado hujajibu MNATUMIKA NA NANI?
 
Umemaliza mkuu boya ataelewa tu just darasa la uraia kisha ataelewa huyo intarahamwe

ukishakuwa JIKE linalofizia MADUME kama wewe, hata mawazo yako lazima yawe tofauti na MAZOEA ya wengi.
 
Back
Top Bottom