sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Hiki kikosi cha Ukawa bado sikielewi vizuri kama kinatumiwa na Serikali ILI TUSIPATE katiba AMA kinatumiwa na Mataifa ya Nje ili KUVURUGA AMANI
Maana wanadai maoni ya rasimu ya katiba hayajadiliwi wakati ambao BMK lilikuwa haliendelei ni sawa na kumlalamikia refa wakati wa mapumziko kuwa haturudi uwanjani maana TUtachezewa rafu. Bunge limeanza wao wapo nje na bunge linaendelea na kanuni walizodai kuna vifungu waliongeza, bado wanaendelea kuongeza vingine.
UKAWA WATUELEZE WANATUMIKA NA NANI?