UKAWA sijui wanatumika na Serikali ama Mataifa ya nje

Kwa nijuavyo mimi UKAWA wanatetea maslahi ya wananchi ili kupata katiba bora.

Wananchi wapi sisi wananchi tukiahirikiana na taasisi mbalimbali kuwashauri warudi bungeni hawataki,hawa wana lao jambo,sisi wananchi Wa kijiji cha nanjilinji tutapitisha katiba.
 
Hicho kidole ulipaswa kwanza kukinyoosha kwa CCM,ambao kwa makusudi kabisa wameamua "kushupaa" na kukataa maoni ya wananchi yaliyochambuliwa,kuratibiwa na kutiwa SAINI na mheshiwa Rais Kikwete(mkiti wa CCM-Taifa).je wao wanafadhiliwa na nani?

Mbongo kuwa na katabia hata ka kuazima hapo kenya, ukiulizwa swali toa jibu na wewe usiulize kabla hujatoa jibu.
 
kama NI YA CCM NA NI YA SIKU NYINGI KWANINI BASI WAKAINGIA BUNGENI NA KUTENGENEZA KANUNI? KWANINI WASINGEKATAA TANGU HUKO MWANZO? BASI TUKUBALIANE KUWA WANATUMIKA. NA WEWE UACHE UFUASI USIOUJUA AMA KUUONA KWA MACHO YA NJE, TUMIA MACHO YA ROHONI.

Acha kujitoa ufahamu wewe kumbuka yametumika mabilioni kuuwezesha ulemchakato kuwepo pale ile tume ya jaji warioba iliupeleka ule mchakato bungeni baada ya rais kuuridhia na nia na madhumuni ulipelekwa kwenye chombo cha bunge ili kuufanyia maboresho na sio kuupinga na kuondoa baadhi ya vipengele nina wasiwasi na hawa waliojitoa ufahamu eidha kwa kufuata mkumbo au kutojitambua , ama elimu ya uraia inahitajika ili tuujue nini maana ya uzalendo nakujua madhara ya ushabiki kwenye moyo wa nchi kama katiba jinsi inavyopelekwa kizandiki mpaka majirani zetu wanatuchora tulivyo mazoba lakini ole wao fisi wazifatao nyayo za simba.
 
basi UKAWA TUTENDEENI HAKI WATANZANIA MAANA MABILIONI MMESHAKULA AMBAYO NI KODI NA KATIBA MMEAMUA KUIKWAMISHA. USIPAYUKE KAMA KASUKU KUNA MAONI YAMEONDOLEWA BILA KUTAJA HATA ONI MOJA LILILOONDOLEWA KWENYE RASIMU. TAJA TU MOJA ILA NI SURA 2 TU ZIMEKWISHAJADILIWA.
 
Sirluta, kwa nini unakimbilia matusi badala ya ku argue kwa hoja? Mbona matusi hayamtofautishi mwenye nayo na anakoyapeleka? Pls boy!.Tujadiliane kistaarabu. Hili suala ni la kitaifa na taifa si mali ya ccm.

Kumbuka ccm in wanachama takribani 5,000,000 tu na ambao wengine wakielimishwa wanageuka. Watanzania 40,000,000 ni wa mitaani lakini ndio wenye katiba. Usidharau hiyo hesabu ukadhani hawawezi kuamua lolote.

Sasa kumtukana Lyinga matusi, kumeongeza tija gani katika mjadala? Umetoa elimu gani ya kumwonyesha kwamba yuko wrong? Katika hayo matusi, unajustify vipi kwamba wewe umesimama sehemu sahihi?

Tafadhali tuwe waungwana japo kidogo ili tupate hoja za msingi.

wewe ni boya tu! Huko mirembe ulipo unajielewaje wakati ukakimbilia kufungua mlango uliochorwa ubaoni? Et unajielewa!
 
Sirluta, kwa nini unakimbilia matusi badala ya ku argue kwa hoja? Mbona matusi hayamtofautishi mwenye nayo na anakoyapeleka? Pls boy!.Tujadiliane kistaarabu. Hili suala ni la kitaifa na taifa si mali ya ccm.

Kumbuka ccm in wanachama takribani 5,000,000 tu na ambao wengine wakielimishwa wanageuka. Watanzania 40,000,000 ni wa mitaani lakini ndio wenye katiba. Usidharau hiyo hesabu ukadhani hawawezi kuamua lolote.

Sasa kumtukana Lyinga matusi, kumeongeza tija gani katika mjadala? Umetoa elimu gani ya kumwonyesha kwamba yuko wrong? Katika hayo matusi, unajustify vipi kwamba wewe umesimama sehemu sahihi?

Tafadhali tuwe waungwana japo kidogo ili tupate hoja za msingi.

hahaha ukinifuatilia barabara, mkuu siwezi kutoa kaul kali kwa mtu ambae hajaanza kunifanyia hivyo. Fuatilia vizuri kuna maneno atakuwa ameyatoa siyo mazuri name namjibu accordingly. Nawe uache research zako kama kama za warioba! Watz 40mil watapiga kura?
 
H ah ahahaaaaaaaaa!.Umenichekesha Sirluta.

Millioni Arobaini, najua kuna watoto lakini underage hawawezi kuwa millioni zaidi ya milioni 20. Wakibaki milioni 20, wakaamua wanachoamua, si tabu tupu?

Ila acha kulipa visasi. Havikupi afya.

Tunu za taifa, uwajibikaji, uwazi na uadilifu zimeondolewa. Ni research gani wamefanya kubaini kwamba wa Tanzania walio wengi hawazitaki? Warioba na team yake wlitafiti wakaziandika, ccm wameziondoa wakijidai eti wanawakilisha maoni ya wananchi!.

basi UKAWA TUTENDEENI HAKI WATANZANIA MAANA MABILIONI MMESHAKULA AMBAYO NI KODI NA KATIBA MMEAMUA KUIKWAMISHA. USIPAYUKE KAMA KASUKU KUNA MAONI YAMEONDOLEWA BILA KUTAJA HATA ONI MOJA LILILOONDOLEWA KWENYE RASIMU. TAJA TU MOJA ILA NI SURA 2 TU ZIMEKWISHAJADILIWA.
 
Tunu za taifa, uwajibikaji, uwazi na uadilifu zimeondolewa. Ni research gani wamefanya kubaini kwamba wa Tanzania walio wengi hawazitaki? Warioba na team yake wlitafiti wakaziandika, ccm wameziondoa wakijidai eti wanawakilisha maoni ya wananchi!.

ccm wanasingiziwa tangu siku nyingi, ungana nao tu kuendelea kusingizia ccm kwani mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.
 
H ah ahahaaaaaaaaa!.Umenichekesha Sirluta.

Millioni Arobaini, najua kuna watoto lakini underage hawawezi kuwa millioni zaidi ya milioni 20. Wakibaki milioni 20, wakaamua wanachoamua, si tabu tupu?

Ila acha kulipa visasi. Havikupi afya.

namnukuu mwanasiasa mmoja "jino kwa jino" halafu, ina maana hao ccm 5milion watakuwa wanaishi mkoa wao na hao 20milion watakuwa mikoa yao? Kwanini iswe vice versa is true 4 ukawa kwa kuwa ccm ndo wengi kule bungeni ambao walichaguliwa na wananchi?
 
Ukawa ukawa ukawa! If they dont mean anything to you or to anyone else, its fine, just leave them alone! Will you? bah
 
Mamako na shangazi zako so what? Mtaacha kucheka cheka huku katiba ina vunjwa madini yana kwapuliwa? Mtaacha kuwa makuwadi wa Rasilimali zetu? Mtaacha Upumbavu wa kushupaa kutetea Ufisadi? Mtaacha unafiki wa kuvua utu wenu kwa mapande ya fedha?...
usiharishe katikati ya soko tueleze UNATUMIKA na NANI?
 
namnukuu mwanasiasa mmoja "jino kwa jino" halafu, ina maana hao ccm 5milion watakuwa wanaishi mkoa wao na hao 20milion watakuwa mikoa yao? Kwanini iswe vice versa is true 4 ukawa kwa kuwa ccm ndo wengi kule bungeni ambao walichaguliwa na wananchi?

Umesahau mlivyotangazwa washindi kupitia wizi wa Kura?.Kama Uchaguzi ungekuwa Huru na Haki huenda Nusu ya Wabunge wa CCM wasingekuwepo Bungeni.Endeleeni kujilisha upepo kwamba mnapendwa na wananchi wakati Dr.Slaa alishasema yeye ndie aliyeshinda kihalali Urais.
 
hatuna muda wa kushindana na kichaa anayetumiwe na ccm kama kondomu kupotosha ukweli kuhusu ccm kukwamisha mchakato wa katiba kwa kubaka maoni ya wananchi na kuingiza maoni ya ccm kwenye rasimu ya katiba ccm katiba ni mali ya wanachi siyo mali ya ccm mm nasubiri sana anguko la ccm baada ya kumaliza bunge wa wala posho la katiba endeleeni kutengeneza katiba ya ccm tutajua tutawahukumu kwenye sanduku la kura tuu
 
Back
Top Bottom