UKAWA sijui wanatumika na Serikali ama Mataifa ya nje

UKAWA sijui wanatumika na Serikali ama Mataifa ya nje

So far sielewi logic ya watu wanayoishambulia UKAWA.. Yes wamegoma kurudi,nyie mmeamua kuendelea na BMK,sasa si muendelee tu then tuone mwisho wenu.

Huwezi kuelewa kwa kuwa wanaowapinga UKAWA hawana logic!
 
Ukawa mbona sisi wananchi wenye akili timamu tunawaelewa shida ipo kwa vilaza na ccm hiyo ndio furaha yao hamuelewi mpaka mshikwe makalio watoto wa kiume ndo mtaelewa mtu anataka nini.

Wasiowaelewa UKAWA ni wale ambao Prof. P. Kabudi kasema huwa wanashupaa (wapumbavu? Lakini tunaoduwaa aah! Tushawaelewa UKAWA.
 
Kina MAMA HEBU PAZENI SAUTI ZENU MAANA HAWA KINA UKAWA MMEWAZAA, WACHAPENI NA MBELEKO, WANAWAHATARISHIA MAISHA YENU.

tunahitaji katiba mpya kama baraza wameshakuwa wahuni wavunje tuwashtaki kwa kutumia kodi zetu vibaya
 
Wewe unataka katiba mpya kwa jina ama unataka katiba yenye mambo mapya na iliyo bora zaidi?

Unajua UKAWA wanadani nini? Naomba unijibu kwa uaminifu. Wale wadandiaji wa ccm waliokaa special kutukana, kaeni mbali nami.

Hiki kikosi cha Ukawa bado sikielewi vizuri kama kinatumiwa na Serikali ILI TUSIPATE katiba AMA kinatumiwa na Mataifa ya Nje ili KUVURUGA AMANI

Maana wanadai maoni ya rasimu ya katiba hayajadiliwi wakati ambao BMK lilikuwa haliendelei ni sawa na kumlalamikia refa wakati wa mapumziko kuwa haturudi uwanjani maana TUtachezewa rafu. Bunge limeanza wao wapo nje na bunge linaendelea na kanuni walizodai kuna vifungu waliongeza, bado wanaendelea kuongeza vingine.
UKAWA WATUELEZE WANATUMIKA NA NANI?
 
hiyo KATIBA BORA ITAPATIKANA KWA KUSUSIA KUJADILI RASIMU?
 
Akili zako ni za 'hovyohovyo'

mkuu mbona leo unakengeuka? Nasikia na wewe ni member wa Ukawa, hebu tuambie mheshimiwa unaetumika kama sabunh ya rungu kung'arisha ngozi za wengine wakati wewe unaisha tu ukishatoa mapovu ya kutosha, UNATUMIKA NA NANI?
 
hiyo KATIBA BORA ITAPATIKANA KWA KUSUSIA KUJADILI RASIMU?

Wamesusia rasimu ya ccm ambayo wameshaiandaa toka zamani hii ya wananchi hawana shida nayo ambayo ndio tume ya jaji warioba iliwakilisha bungeni hivi hii nchi mbona mambumbu mpo hivyo kusoma hamjui hata picha? Hailanga hataree.
 
Kina MAMA HEBU PAZENI SAUTI ZENU MAANA HAWA KINA UKAWA MMEWAZAA, WACHAPENI NA MBELEKO, WANAWAHATARISHIA MAISHA YENU.

Kwa mawazo kama haya kuna kina mama wamezaaa placenta na wanaita watoto
 
Twende taratibu bila jazba.

Umesema sahihi. Katiba bora itapatikana kwa kujadili rasimu na kwa umoja bila kususiana. Naomba uendelee kuwa patient twende pamoja.

Naomba uorodheshe madai ya UKAWA yaliyowafanya watoke bungeni na tujadili moja moja.

hiyo KATIBA BORA ITAPATIKANA KWA KUSUSIA KUJADILI RASIMU?
 
wewe ni boya tu! Huko mirembe ulipo unajielewaje wakati ukakimbilia kufungua mlango uliochorwa ubaoni? Et unajielewa!

Sawa wewe ulie na akili timamu hembu tuambie rasimu inayojadiliwa pale bungeni kwa sasa ni ipi ya wananchi iliopelekwa na jaji warioba au ya wafia nchi ccm.
 
So far sielewi logic ya watu wanayoishambulia UKAWA.. Yes wamegoma kurudi,nyie mmeamua kuendelea na BMK,sasa si muendelee tu then tuone mwisho wenu.

Hilo nalo neno na tusiwasikie wakilia lia manake mwisho wake nauna ni mbaya.
 
Hiki kikosi cha Ukawa bado sikielewi vizuri kama kinatumiwa na Serikali ILI TUSIPATE katiba AMA kinatumiwa na Mataifa ya Nje ili KUVURUGA AMANI

Maana wanadai maoni ya rasimu ya katiba hayajadiliwi wakati ambao BMK lilikuwa haliendelei ni sawa na kumlalamikia refa wakati wa mapumziko kuwa haturudi uwanjani maana TUtachezewa rafu. Bunge limeanza wao wapo nje na bunge linaendelea na kanuni walizodai kuna vifungu waliongeza, bado wanaendelea kuongeza vingine.
UKAWA WATUELEZE WANATUMIKA NA NANI?

Hicho kidole ulipaswa kwanza kukinyoosha kwa CCM,ambao kwa makusudi kabisa wameamua "kushupaa" na kukataa maoni ya wananchi yaliyochambuliwa,kuratibiwa na kutiwa SAINI na mheshiwa Rais Kikwete(mkiti wa CCM-Taifa).je wao wanafadhiliwa na nani?
 
Wamesusia rasimu ya ccm ambayo wameshaiandaa toka zamani hii ya wananchi hawana shida nayo ambayo ndio tume ya jaji warioba iliwakilisha bungeni hivi hii nchi mbona mambumbu mpo hivyo kusoma hamjui hata picha? Hailanga hataree.

kama NI YA CCM NA NI YA SIKU NYINGI KWANINI BASI WAKAINGIA BUNGENI NA KUTENGENEZA KANUNI? KWANINI WASINGEKATAA TANGU HUKO MWANZO? BASI TUKUBALIANE KUWA WANATUMIKA. NA WEWE UACHE UFUASI USIOUJUA AMA KUUONA KWA MACHO YA NJE, TUMIA MACHO YA ROHONI.
 
Twende taratibu bila jazba.

Umesema sahihi. Katiba bora itapatikana kwa kujadili rasimu na kwa umoja bila kususiana. Naomba uendelee kuwa patient twende pamoja.

Naomba uorodheshe madai ya UKAWA yaliyowafanya watoke bungeni na tujadili moja moja.

Wanadai kilichowatoa ni kwamba ilikuwa inajadiliwa rasimu ya katiba ya ccm na siyo ile ya Warioba aliyowasilisha. Swali la kujiuliza hyo rasimu ya ccm ni ipi mbona wasitoke na nakala tukaiona? Lakin pia ni sura 2 tu zilijadiliwa, je hazikuwepo kwenye rasimu ya Warioba hzo sura zilizojadiliwa? Baada ya kutoka hawatak kurudi kwa kutokutoa ushahidi wa kile kilichowatoa, wanageuka tena wanasema baada ya kutoka kuna vifungu vilibadilishwa, je mbona hadi jana kuna vifungu vimewekwa sawa? Ndo maana nikasema wanatumika kwa maslahi ya mtu fulani wala tusiwashabikie kwamba wafanye hivyo ILI iwe hivi.j
 
lakini nyie si mnaendelea na mijadala!endeleeni....mbona hamna amani kwenye nafsi zenu ilhali mmesema akidi inatosha?

wewe upo nyuma masaa kadhaa, ungekazana kidogo utufikie ungejua kuna nini, kukaa kwao nje ni advantage kwa watu tusiowajua na siyo kwa wananchi.
 
Sawa wewe ulie na akili timamu hembu tuambie rasimu inayojadiliwa pale bungeni kwa sasa ni ipi ya wananchi iliopelekwa na jaji warioba au ya wafia nchi ccm.

hUKO SOMALIA ULIPO TBC1 KWANI INAONEKANA HUKO?
 
Back
Top Bottom