huo ndo ukweli sisi tunataka serikali 3 hizo 2 sijui ccm wametoa wapi anguko la ccm limekaribia sasaNdugu mwana CCM,UKAWA inatumika na wananchi.Wananchi wanataka Serikali tatu.
huo ndo ukweli sisi tunataka serikali 3 hizo 2 sijui ccm wametoa wapi anguko la ccm limekaribia sasaNdugu mwana CCM,UKAWA inatumika na wananchi.Wananchi wanataka Serikali tatu.
Mamako na shangazi zako so what? Mtaacha kucheka cheka huku katiba ina vunjwa madini yana kwapuliwa? Mtaacha kuwa makuwadi wa Rasilimali zetu? Mtaacha Upumbavu wa kushupaa kutetea Ufisadi? Mtaacha unafiki wa kuvua utu wenu kwa mapande ya fedha?...
Umesahau mlivyotangazwa washindi kupitia wizi wa Kura?.Kama Uchaguzi ungekuwa Huru na Haki huenda Nusu ya Wabunge wa CCM wasingekuwepo Bungeni.Endeleeni kujilisha upepo kwamba mnapendwa na wananchi wakati Dr.Slaa alishasema yeye ndie aliyeshinda kihalali Urais.
hatuna muda wa kushindana na kichaa anayetumiwe na ccm kama kondomu kupotosha ukweli kuhusu ccm kukwamisha mchakato wa katiba kwa kubaka maoni ya wananchi na kuingiza maoni ya ccm kwenye rasimu ya katiba ccm katiba ni mali ya wanachi siyo mali ya ccm mm nasubiri sana anguko la ccm baada ya kumaliza bunge wa wala posho la katiba endeleeni kutengeneza katiba ya ccm tutajua tutawahukumu kwenye sanduku la kura tuu
Hiki kikosi cha Ukawa bado sikielewi vizuri kama kinatumiwa na Serikali ILI TUSIPATE katiba AMA kinatumiwa na Mataifa ya Nje ili KUVURUGA AMANI
Maana wanadai maoni ya rasimu ya katiba hayajadiliwi wakati ambao BMK lilikuwa haliendelei ni sawa na kumlalamikia refa wakati wa mapumziko kuwa haturudi uwanjani maana TUtachezewa rafu. Bunge limeanza wao wapo nje na bunge linaendelea na kanuni walizodai kuna vifungu waliongeza, bado wanaendelea kuongeza vingine.
UKAWA WATUELEZE WANATUMIKA NA NANI?
maoni yalikusanywa kutoka zimbabwe!unaweza kutoa maoni wewe!
Hiki kikosi cha Ukawa bado sikielewi vizuri kama kinatumiwa na Serikali ILI TUSIPATE katiba AMA kinatumiwa na Mataifa ya Nje ili KUVURUGA AMANI
Maana wanadai maoni ya rasimu ya katiba hayajadiliwi wakati ambao BMK lilikuwa haliendelei ni sawa na kumlalamikia refa wakati wa mapumziko kuwa haturudi uwanjani maana TUtachezewa rafu. Bunge limeanza wao wapo nje na bunge linaendelea na kanuni walizodai kuna vifungu waliongeza, bado wanaendelea kuongeza vingine.
UKAWA WATUELEZE WANATUMIKA NA NANI?
hiki kikosi cha ukawa bado sikielewi vizuri kama kinatumiwa na serikali ili tusipate katiba ama kinatumiwa na mataifa ya nje ili kuvuruga amani
maana wanadai maoni ya rasimu ya katiba hayajadiliwi wakati ambao bmk lilikuwa haliendelei ni sawa na kumlalamikia refa wakati wa mapumziko kuwa haturudi uwanjani maana tutachezewa rafu. Bunge limeanza wao wapo nje na bunge linaendelea na kanuni walizodai kuna vifungu waliongeza, bado wanaendelea kuongeza vingine.
Ukawa watueleze wanatumika na nani?