Hivi huyu ni Mwanakijiji yule yule ninayemfahamu au account yake imeingiliwa? Siamini kwani kwa sasa amekuwa mtu wa siasa nyepesi nyepesi sana. Hivi ni kweli Mwanakijiji hafahamu kilichopo nyuma ya hao viongozi wa NCCR?
Swali la msingi la kujiuliza ni hili, makubaliano ya mgawanyo wa majimbo haukufanyika leo, siku zote hao viongozi walikuwa wapi kupinga au kutoa maoni yao kuboresha makubaliano yaliyofikiwa na m/kiti na katibu wao mkuu?
Majimbo yamegawanywa kabla ya muda wa kurudisha form NEC tarehe 22/09/2015, watu wamechukua form zikajazwa na kurudishwa. Kampeni zinaelekea kumaliza mwezi sasa leo wao ndio watoke waseme kuwa hawaridhishwi na mgawanyo wa majimbo? Mtu mzima mwenye akili timamu unayekubaliana na mitazamo ya hovyo kama hii tukuelewe vipi?