UKAWA rudini bungeni, Hatujaona kilichowatoa!

UKAWA rudini bungeni, Hatujaona kilichowatoa!

Comrade usijikweze na kujipa mamlaka usiyokuwa nayo! kuwa na kiasi cha lugha na maneno! unadai HATUJAONA; akha! wewe na nani au ukimuwakilisha nani?! tumia neno HUJAONA; na kuna sababu nyingi za kukufanya USIONE; moja ikiwa ushabiki mandazi kwa CCM, pili hujafanya home work ya kutosha kufuatilia jambo hilo au tatu uwezo mdogo wa kufanya tafakuri ya kina kuhusu swala zima la katiba mpya!!

Reading your post between the lines; you are most likely a non entity which represents no one or nothing except blind fanaticism for the ruling party CCM! BS

bado nasisitiza HATUJAONA kwani unajua tupo wangapi?
 
kama bado hujajua kilicho watoa bungeni basi wewe ni mwehu wa karne.
 
wewe.



ya kiuongozi(kiutawala), kimfumo, kitabaka, kimtazamo, kisiasa n.k




Wapi nimekutusi mkuu?
Hatuna katiba ya matusi zaidi ya ipiganiwayo na kulazimishwa na wana-CCM.

kila mwanaUkawa aliyechangia ametukana, tuseme sasa ukawa bila matusi hamwezi kuchangia?
 
Umejitahidi kuandika...

CCM jana ilivuliwa nguo...Ni aibu tupu Wassira kaileta...

Tangu jana unaandika ujinga tu, hivi hata akili za kuwaza vizuri hauna kuona namna Wassira alivyowaburuza UKAWA?
Jana ilikuwa kama mechi ya Brazil na Ujerumani.
Ukawa brazil Wassira Germany. 0-7.
 
Swali rahis naomba jibu kwa nin ccm wame edit maoni ya watz ya serikali tatu? Na wamejikita kujadili serikali mbili ambazo si maoni ya watz? Na kwa nin serikali ya ccm imefunga tovut ya tume! Kuna haja gan ya ukawa kurud bungen endapo maon ya wananch hayajadili ila maon ya ccm?
 
Swali rahis naomba jibu kwa nin ccm wame edit maoni ya watz ya serikali tatu? Na wamejikita kujadili serikali mbili ambazo si maoni ya watz? Na kwa nin serikali ya ccm imefunga tovut ya tume! Kuna haja gan ya ukawa kurud bungen endapo maon ya wananch hayajadili ila maon ya ccm?

wale 7,000 kutoka Kigoma? Kufungwa kwa tovuti kuna uhusiano gani na upatikanaji wa katiba? Wakati inafunguliwa nani alipendekeza muda wa kuifunga? Hivyo ilifungwa maana muda wa kuifunga ulifika.
 
[FONT=Times
New Roman]Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Hamad Salim
alisema kinachotakiwa kufanyika kwanza kabla hata ya kuunda hizo kanuni
ni makubaliano baina ya pande hizo mbili.
[/FONT]

“Makubaliano ndiyo msingi wa kupata
katiba tunayoitaka, lakini wanavyokimbilia kwenye masuala ya kanuni
haifai. Ukiangalia wanaoenda kutunga kanuni ni wale wale ambao wamekuwa
wakilinda masilahi yao wenyewe,” alisema Salim na kuongeza:

“Lakini hii hali ilianza
kudhihirika tangu hapo awali mchakato huu ulipoanza. Tuliona kabisa hawa
watu hawapo pale kwa ajili ya kutetea na kulinda masilahi ya wananchi
bali masilahi yao wenyewe na hicho ndicho kinachoendelea sasa”

Alisema mambo yamekuwa yakipelekwa
mbio mbio, hakuna ushirikishwaji wa wananchi ambao ni yakinifu wenye
kuwapa elimu na ufafanuzi wa kila hatua ya mchakato kiundani kama
inavyostahili.

Mhadhiri huyo alisema kama hata
hizo kanuni zikiwekwa haziwezi kuwa tiba ya kupata suluhu na hatimaye
kupata Katiba wanayoitaka Watanzania.

“Ni bora huu mchakato uvunjwe.
Tusubiri uchaguzi ujao wa 2015 upite halafu mchakato uanze upya.”

CCM wanachelewesha tu ili waendelee kula posho za wananchi
 
Kwa hiyo, kwa mtazamo wako na uelewa wako Polepole na Wasira walikuwa na mtazamo unaofanana? Walishabihiana? Unafiki ni utumwa na udumavu!


Ukweli ndio huo. Jana mdahalo umewa expose sana. Wanarudia maneno yaleyale. Hoja zero. Walioeleweka pekee jana ni polepole na wassira. Misukule imebaki kumwaga matusi tu
 
UKAWA hamna sababu za msingi na wala sioni sababu ya kutoka nje ya bunge wananchi ndiyo wanaoweza kuikubali au kuikataa katiba itakayopitishwa na bunge maalum la katiba, hivyo ni vema mkabishana kwa hoja na mwisho wa siku wananchi ndo watakaoamua kama ipite au isipite. Kama mwananchi wa kawaida natamani sana taifa langu lipate katiba mpya ambayo itakuwa imepigiwa kura na ikiwakilisha wananchi wote bila kujali itikadi za vyama n.k.

Wekeni maslahi ya chama pembeni then tulisaidie taifa lipate katiba mpya.
 
Kwa hiyo hii ndiyo hoja ya nguvu sana aliyoitoa wasira kwenye mdahalo!. Na wewe unaona is worthy the airtime and peoples' attention in a way that you are proudly announcing him your hero?


Ukawa ni vema mkarudi bungeni, sisi Wananchi kupitia mikutano yenu na midahalo yenu, hatujaona sababu ya msingi iliyowatoa katika mkutano wa bunge. Wala siyo ombi, timizeni wajibu tuliowapeni. Mmeshakula "Advance" kamalizieni kazi.

Tundu Lisu anagonga meza ili CHADEMA waone yupo kazini, hana hoja mahususi.
Ni sawa wameshafanya makosa kwa kutoka kwao na wameshagundua waliyoyapanga hayakufanikiwa, ni vema wakarudi tu wala wasione aibu, kuteleza siyo kuanguka.
 
RUDINI UKKAWA fake mmeshakula hela yetu hatuwaachi labada mrudishe na hao mburura wenu wanaowatetea kwenye social media tunajua hawajitambui ni mburura tu. RUDINI haraka la sivyo kibano.
 
Arafu Mods Acheni Upendeleo, Mbna Threads Zangu Za Kumushutumu Wasira Juu Ya Ubaguzi Alouonesha Jana Kwa Sisi Wanakigoma Mumezifuta? Then Thread Kama Hii Munaiachia Tu

Mkuu jana Mwanasheria Awadhi aliwaacha uchi magamba.
 
kama wanajiamini kwa hoja warudi utakimbiaje vita

Wewe chizi kweli nani hajui maamuzi yatategemea kula na si maridhiano na hoja kwenye bunge liliojaa makada wa ccm hivyo katiba iliyoletwa na magamba kupita.
 
ukawa hamuoni haibu pesa zilizotumika kweny mchakato had walimu mishahara ikakosa vyuo mikopo ni shida alafu hamuoni haibu pesa mmeishakura mnataka mchakato uhailishwe hyo inaonyesha n namna gan hamna uzalendo na nchi yetu tanzania

Kwahiyo hizo ndio sababu za kuwafanya waende kujadili rasimu ya ccm na waache ya wananchi eti kwakuwa fedha za wananchi zimetumika?
 
Back
Top Bottom