sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Ukawa ni vema mkarudi bungeni, sisi Wananchi kupitia mikutano yenu na midahalo yenu, hatujaona sababu ya msingi iliyowatoa katika mkutano wa bunge. Wala siyo ombi, timizeni wajibu tuliowapeni. Mmeshakula "Advance" kamalizieni kazi.
Tundu Lisu anagonga meza ili CHADEMA waone yupo kazini, hana hoja mahususi.
Ni sawa wameshafanya makosa kwa kutoka kwao na wameshagundua waliyoyapanga hayakufanikiwa, ni vema wakarudi tu wala wasione aibu, kuteleza siyo kuanguka.