UKAWA rudini bungeni, Hatujaona kilichowatoa!

UKAWA rudini bungeni, Hatujaona kilichowatoa!

Vitaje mkuu, na wewe usigonge meza kama Lisu ili mteja wako aone upo kazini.

We kweli ujielewa basi ilo la kugonga meza utakura ndo ulilolielewa kwenye mjadala mzima.na umri wako huo utakuta ndo marayko ya kwanza kuliskia jana...!
 
We kweli ujielewa basi ilo la kugonga meza utakura ndo ulilolielewa kwenye mjadala mzima.na umri wako huo utakuta ndo marayko ya kwanza kuliskia jana...!

wasione aibu kurudi, warudi tu wala hawatazomewa!
 
kuna haja ya kupima uwezo wa kufikiri wa wanalumumba! mnasifia hata ujinga
 
Ukawa ni vema mkarudi bungeni, sisi Wananchi kupitia mikutano yenu na midahalo yenu, hatujaona sababu ya msingi iliyowatoa katika mkutano wa bunge. Wala siyo ombi, timizeni wajibu tuliowapeni. Mmeshakula "Advance" kamalizieni kazi.

Tundu Lisu anagonga meza ili Chadema waone yupo kazini, hana hoja mahususi.
Ni sawa wameshafanya makosa kwa kutoka kwao na wameshagundua waliyoyapanga hayakufanikiwa, ni vema wakarudi tu wala wasione aibu, kuteleza siyo kuanguka.

Utaonaje wakati Mungu amekuumba kipofu ( upofu wa akili). Hii no sawa na kipofu kudai kwamba Leo ni Eid kwasabsbu jana umeuona mwezi!!
 
Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko Humphrey Polepole alisema Sitta anatakiwa kuwa kama [COLOR=#0000FF !important]baba[/COLOR]katika familia kwamba mtoto anapokosea hutakiwi kumwadhibu bila kujua tatizo. Alisema kama Ukawa wamegoma kufika meza ya majadiliano Sitta hakutakiwa kuwa na hasira alitakiwa kujishusha na kutumia busara na hekima kuwaita tena na wakigoma sasa wananchi wataona nani ni mkorofi.“Kilichotokea ni kutibu matokeo badala ya kuangalia mzizi, tatizo lililopo katika Bunge Maalumu la Katiba linatakiwa kuangaliwa kwa mapana na si juu juu tu, kwani kama Tume nayo ingekuwa hivyo Rasimu iliyopo mezani isingepatikana,” alisema Polepole ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi za kiraia nchini.
 
Mratibu wa Mtandao wa Wapiganiaji wa Haki za Binadamu, Onesmo Ole Ngurumwa alisema katiba inavyoandaliwa inatakiwa kuyashirikisha makundi mbalimbali na ikitokea kundi moja likasusia mchakato huo, hautakiwi kuendelea kisheria, kwani utakuwa unakiuka Katiba ya nchi.

“Unapofanya marekebisho ya kanuni ni lazima zilingane na sheria. Huwezi kuwa na kanuni zilizo juu ya sheria, kwani wakifanya hivyo watasababisha vurugu kama zilizotokea kwa wenzetu kule Kenya,” alisema Ngurumwa.

Aliongeza: “Hapa mchakato umekwama na hakuna haja ya kubadili kanuni. Umefika wakati wa Rais Kikwete (Jakaya Kikwete) kama mwenyekiti wa chama chake (CCM) kuchukua uamuzi wenye kujali masilahi ya watu wote kwa kuukwamua mchakato huu, bila hivyo hakuna kitakachoendelea.”

Mkazi wa Kimara Dar es [COLOR=#0000FF !important]Salaam, Aivan Alfred alisema Julai 31 mwaka huu anakusudia kufungua kesi ya kupinga kuendelea na vikao vya Bunge Maalumu la Katiba kujadili Rasimu ya Katiba.
[/COLOR]
Alisema pingamizi hilo linatokana na Bunge hilo kujadili mambo ambayo ni kinyume na maoni yaliyotolewa na wananchi.
 
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Hamad Salim alisema kinachotakiwa kufanyika kwanza kabla hata ya kuunda hizo kanuni ni makubaliano baina ya pande hizo mbili.

“Makubaliano ndiyo msingi wa kupata katiba tunayoitaka, lakini wanavyokimbilia kwenye masuala ya kanuni haifai. Ukiangalia wanaoenda kutunga kanuni ni wale wale ambao wamekuwa wakilinda masilahi yao wenyewe,” alisema Salim na kuongeza:

“Lakini hii hali ilianza kudhihirika tangu hapo awali mchakato huu ulipoanza. Tuliona kabisa hawa watu hawapo pale kwa ajili ya kutetea na kulinda masilahi ya wananchi bali masilahi yao wenyewe na hicho ndicho kinachoendelea sasa”

Alisema mambo yamekuwa yakipelekwa mbio mbio, hakuna ushirikishwaji wa wananchi ambao ni yakinifu wenye kuwapa elimu na ufafanuzi wa kila hatua ya mchakato kiundani kama inavyostahili.

Mhadhiri huyo alisema kama hata hizo kanuni zikiwekwa haziwezi kuwa tiba ya kupata suluhu na hatimaye kupata Katiba wanayoitaka Watanzania.

“Ni bora huu mchakato uvunjwe. Tusubiri uchaguzi ujao wa 2015 upite halafu mchakato uanze upya.”
 
Ni muhimu sasa turejee kwenye sheria; mkirejea huko hakuna haja ya kubishana kwa kura ya ndiyo au hapana. Sheria inasema Katiba Mpya itapatikana baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba bungeni na hakuna nyingine."

Butiku aliongeza: "Ni muhimu sheria ingezingatiwa na hakuna haja kwa vyama vya siasa kwenda katika Bunge la Katiba na rasimu zao kwapani, zikiwa zimefichwa;…huwezi kuwa na maoni nje ya rasimu, yasiyozingatia rasimu iliyowasilishwa."Kwa mujibu wa Butiku, kosa la [COLOR=#0000FF !important]tatu la msingi ni kuwazuia watu kujua ambayo Tume [COLOR=#0000FF !important]ya[/COLOR]Mabadiliko ya Katiba ilikusanya kutoka kwa wananchi mabayo yapo katika vitabu vya randama vinane, vilivyoandaliwa na tume hiyo.
"Mtu ukifunga tovuti ya tume (ya Katiba) maana yake nini? Tume imemaliza muda wake, lakini rekodi zake zipo katika tovuti, ndiyo ushahidi wa kazi ya tume kwa wananchi.

Butiku huyo.

[/COLOR]
 
Waende Kujadiri Rasmu Ya Magamba??? Subutu.! Haendi Mtu Kudadadeeki
 
Arafu Mods Acheni Upendeleo, Mbna Threads Zangu Za Kumushutumu Wasira Juu Ya Ubaguzi Alouonesha Jana Kwa Sisi Wanakigoma Mumezifuta? Then Thread Kama Hii Munaiachia Tu
 
Vitaje mkuu, na wewe usigonge meza kama Lisu ili mteja wako aone upo kazini.

Sikuwa najua kama na wewe ni bonge la zombi namna hii, yani mpk mnatia kinyaa na vipost vyenu vya kipumbavu!!!!
 
So sad kuona mtu anashabikia hata jambo asilolielewa!

Tunahitaji mabadiliko.
 
Back
Top Bottom