UKAWA rudini bungeni, Hatujaona kilichowatoa!

UKAWA rudini bungeni, Hatujaona kilichowatoa!

Usiseme sisi sema mimi mwananchi..................... endelea namtazamo wako
 
Kwahiyo hizo ndio sababu za kuwafanya waende kujadili rasimu ya ccm na waache ya wananchi eti kwakuwa fedha za wananchi zimetumika?

yaani wewe ni nani haswa unayeharishaharisha kutetea wananchi? Wananchi wanataka katiba waipigie kura na siyo marue rue ya watu wenye njaa Ukawa!
 
Wewe chizi kweli nani hajui maamuzi yatategemea kula na si maridhiano na hoja kwenye bunge liliojaa makada wa ccm hivyo katiba iliyoletwa na magamba kupita.

hao ndio wenye uwezo wa kutunga katiba na siyo wahuni wa Ukawa!
 
yaani wewe ni nani haswa unayeharishaharisha kutetea wananchi? Wananchi wanataka katiba waipigie kura na siyo marue rue ya watu wenye njaa Ukawa![/QUOT Kweli wewe ni msukule nani asiye jua kazi yenu ni kuchakachua kama ulivyofanya kwenye mabaraza ya katiba ama mnavyofanya kwenye uchaguzi mkuu nafasi ya kura ipo lazima stage hii muondoe hiyo rasimu ya chama na ijadiliwe ya wananchi bungeni.
 
Kwahiyo hizo ndio sababu za kuwafanya waende kujadili rasimu ya ccm na waache ya wananchi eti kwakuwa fedha za wananchi zimetumika?

kwahiyo huko walipo ndiko wanajadili katiba ya wananchi? Sijui na hizo gongo zenu!
 
yaani wewe ni nani haswa unayeharishaharisha kutetea wananchi? Wananchi wanataka katiba waipigie kura na siyo marue rue ya watu wenye njaa Ukawa![/QUOT Kweli wewe ni msukule nani asiye jua kazi yenu ni kuchakachua kama ulivyofanya kwenye mabaraza ya katiba ama mnavyofanya kwenye uchaguzi mkuu nafasi ya kura ipo lazima stage hii muondoe hiyo rasimu ya chama na ijadiliwe ya wananchi bungeni.

sasa kama kila wakati mnachakachuliwa mna faida gani sasa? Sisi twaona wachakachuaji ndio wenye akili siyo ninyi bongolala kaz kulalama kama mwanamke......
 
Kwa nini wanaogopa wananchi kuletewa na kuipigia kura na isitoshe kuna mambo ya msingi kama matumizi ya rasilimali,utawala bora,tume huru ya uchaguzi,mamlaka ya rais,masuala ya mikataba,uteuzi na mengineyo ila hayajadiliwi wanagombania muundo wa serikali ambao hauna direct relationship na maendeleo ya wananchi..
 
UPAWA rudini bungeni katimizeni jukumu lenu kisha sisi wananchi tutaua ktk kura, rudini bungeni mkajenge hoja ili sisi wananchi tupate kuwaelewa vizuri.

Either hujasoma rasimu au hujawasikiliza UKAWA kwa makini. Unataka wajenge hoja mara ngapi? Hoja ndo imewaondoa bungeni. Walijenga hoja mzito tena yamaana lakini umbumbu wa ccm akili ilishindwa kufanya kazinakuelewa nini hasa maana ya rasimu na kanuni wakaanza kupindisha sheria kwa maslahi ya kundi lakifisadi linalojiita ccm.
 
Wewe chizi kweli nani hajui maamuzi yatategemea kula na si maridhiano na hoja kwenye bunge liliojaa makada wa ccm hivyo katiba iliyoletwa na magamba kupita.
hata kama hilo litatokea wao wajadiliane then mwisho wa siku tutaamua wananchi pia
 
Back
Top Bottom