UKAWA rudini bungeni, Hatujaona kilichowatoa!

mkuu, ilikuwa inakera kweli. Wassira alikuwa serious wengine walikuwa wanaleta utoto

Ndugu unachokifanya hapa ndicho alichikuwa anakifanya wassira yani analeta hoja mabazo hazieleweki. Serikali mbili wamezitoa wapi? Tatu zipo kwenye rasimu. Kama hawataki kuiamini tume warudie tena kutafuta maoni ili wapate hizo mbili kwanini wanang'ang'ania kuendelea na bunge kutafuta katiba mpya ipi wakati hata katiba ya sasa inaserikali mbili. Na kama ni kuboresha katiba hakuna haja ya kuwa na bunge la katiba? Hebu CCM jitahidi kusoma alama za nyakati. Hii ni Tanzania ya kizazi kingine.
 
ukawa hamuoni haibu pesa zilizotumika kweny mchakato had walimu mishahara ikakosa vyuo mikopo ni shida alafu hamuoni haibu pesa mmeishakura mnataka mchakato uhailishwe hyo inaonyesha n namna gan hamna uzalendo na nchi yetu tanzania
 
Ukawa ni vema mkarudi bungeni, sisi Wananchi kupitia mikutano yenu na midahalo yenu, hatujaona sababu ya msingi iliyowatoa katika mkutano wa bunge. Wala siyo ombi, timizeni wajibu tuliowapeni. Mmeshakula "Advance" kamalizieni kazi.

Tundu Lisu anagonga meza ili Chadema waone yupo kazini, hana hoja mahususi.
Ni sawa wameshafanya makosa kwa kutoka kwao na wameshagundua waliyoyapanga hayakufanikiwa, ni vema wakarudi tu wala wasione aibu, kuteleza siyo kuanguka.

Ni kweli mkuu mie nmewasikiliza sana jana ckuona hoja ya msingi inayowafanya wadirudi BMK
 
kwanza ukawa hamna sera zaidi ya matuc hii ni hatar xn km nyie ndo mnataka nchi wkt hamna busara wala hekima
 
Ha ha ha.....Ule mjadala ungendelea kwa dakika 15 Wassira angeweza kupata stroke na kufa pale pale..

Mara ya kwanza mlisema hatakuja,kaja na hamna aliyeweza kuzipangua hoja za wasira badala yake wakawa wanaropoka
 
Ukawa ni vema mkarudi bungeni, sisi Wananchi kupitia mikutano yenu na midahalo yenu, hatujaona sababu ya msingi iliyowatoa katika mkutano wa bunge. Wala siyo ombi, timizeni wajibu tuliowapeni. Mmeshakula "Advance" kamalizieni kazi.

Tundu Lisu anagonga meza ili Chadema waone yupo kazini, hana hoja mahususi.
Ni sawa wameshafanya makosa kwa kutoka kwao na wameshagundua waliyoyapanga hayakufanikiwa, ni vema wakarudi tu wala wasione aibu, kuteleza siyo kuanguka.

Mtazionaje wakati bado mmevaa miwani ya fikra za mwenyekiti wa CCM.
 
Ukawa ni vema mkarudi bungeni, sisi Wananchi kupitia mikutano yenu na midahalo yenu, hatujaona sababu ya msingi iliyowatoa katika mkutano wa bunge. Wala siyo ombi, timizeni wajibu tuliowapeni. Mmeshakula "Advance" kamalizieni kazi.

Tundu Lisu anagonga meza ili Chadema waone yupo kazini, hana hoja mahususi.
Ni sawa wameshafanya makosa kwa kutoka kwao na wameshagundua waliyoyapanga hayakufanikiwa, ni vema wakarudi tu wala wasione aibu, kuteleza siyo kuanguka.

Wewe msukule vumilia dawa kutoka kwa lisu ikuingie walau upone na usukule wako. Ukawa ni mpango wa mungu wanatetea maoni yetu. Je maccm na misukule yote inatetea maoni ya kina nani? Kwanza serekali mbili mnazotaka zinatokana na takwimu zipi? Nendeni kanisani mkaombewe mana ukishabikia ccm akili zinakutoka zote
 
Ukawa hawajitambui wanapaswa kupewa elimu ya uraia vinginevyo watatuvurugia nchi yetu yenye amani tele kama tulivyozoea.
 
Bawacha punguzeni munkali haya maisha ya siasa yanataka uelewa wa mambo na hoja za msingi kwenye kuwatumika watu.
 
Ukawa hawajitambui wanapaswa kupewa elimu ya uraia vinginevyo watatuvurugia nchi yetu yenye amani tele kama tulivyozoea.

ni wa kuwapuuzia tu hawa wasiojitambua hawatufai
 
Lipumba alikuwa na file lake ameliandika "SIRI" kwa makapen ndo alikuwa anatishia nalo watu! Hahahaha..

Sirluta file la Lipumba hapa siyo issue, Je hoja alizokuwa anazitoa Wassira zina mashiko?
 
Ukawa ni vema mkarudi bungeni, sisi Wananchi kupitia mikutano yenu na midahalo yenu, hatujaona sababu ya msingi iliyowatoa katika mkutano wa bunge. Wala siyo ombi, timizeni wajibu tuliowapeni. Mmeshakula "Advance" kamalizieni kazi.

Tundu Lisu anagonga meza ili CHADEMA waone yupo kazini, hana hoja mahususi.
Ni sawa wameshafanya makosa kwa kutoka kwao na wameshagundua waliyoyapanga hayakufanikiwa, ni vema wakarudi tu wala wasione aibu, kuteleza siyo kuanguka.

Kurudi bungeni kwenda kujadili nini?
 
Sirluta file la Lipumba hapa siyo issue, Je hoja alizokuwa anazitoa Wassira zina mashiko?

zina mashiko ndiyo, kuwataka ukawa warudi ulingoni wasikimbie kazi waliyokwisha kuianza. Wangegomea toka mwanzo.
 
Watu wanatafuta buku saba saba za sikukuu,wala msibishane nao mnawaongezea bahasha
 
huu ni wimbo wenu tumeuzoea, tunasubiri album ijae. Kuna pipoz power, m4c, interahamwe, n.k
 
Ukawa ni vema mkarudi bungeni, sisi Wananchi kupitia mikutano yenu na midahalo yenu, "hatujaona" sababu ya msingi iliyowatoa katika mkutano wa bunge. Wala siyo ombi, timizeni wajibu tuliowapeni. Mmeshakula "Advance" kamalizieni kazi.

Tundu Lisu anagonga meza ili CHADEMA waone yupo kazini, hana hoja mahususi.
Ni sawa wameshafanya makosa kwa kutoka kwao na wameshagundua waliyoyapanga hayakufanikiwa, ni vema wakarudi tu wala wasione aibu, kuteleza siyo kuanguka.

Comrade usijikweze na kujipa mamlaka usiyokuwa nayo! kuwa na kiasi cha lugha na maneno! unadai HATUJAONA; akha! wewe na nani au ukimuwakilisha nani?! tumia neno HUJAONA; na kuna sababu nyingi za kukufanya USIONE; moja ikiwa ushabiki mandazi kwa CCM, pili hujafanya home work ya kutosha kufuatilia jambo hilo au tatu uwezo mdogo wa kufanya tafakuri ya kina kuhusu swala zima la katiba mpya!!

Reading your post between the lines; you are most likely a non entity which represents no one or nothing except blind fanaticism for the ruling party CCM! BS
 
UPAWA rudini bungeni katimizeni jukumu lenu kisha sisi wananchi tutaua ktk kura, rudini bungeni mkajenge hoja ili sisi wananchi tupate kuwaelewa vizuri.
 
Back
Top Bottom