UKAWA rudini bungeni, Hatujaona kilichowatoa!

Jana Wassira kawaumbua kweli. Wamebaki wanabwabwaja tu

Mabilioni yametumika kutafuta maoni ya wananchi.

Sasa mbona mnakuwa vipofu kusigina maoni ya wananchi?

MWENYE HAKI UKAWA anatambulika vyema kubeba bendera ya wazalendo.
 
Ukiwa na ufahamu wa kutosha ndani ya ccm huwezi kusema jana wassira alifanikiwa kwenye ule Mdahalo zaidi ya kupanic na kupiga siasa wakati wenzake walikuwa wanachambua kisayansi na kukonkuludi fakti tupu!

Tunasikia watu wanasema ukawa rudini bungeni, hatusikii watu kama viongozi wa dini wakiwambia ccm na nyie rudini kwenye moyo wa rasimu ambayo ni serikali 3 sasa kama hili halitafanyika ukawa hakuna kurudi bungeni kwenda kura pesa na katiba isipatikane.
 
Ukawa ni vema mkarudi bungeni, sisi Wananchi kupitia mikutano yenu na midahalo yenu, hatujaona sababu ya msingi iliyowatoa katika mkutano wa bunge. Wala siyo ombi, timizeni wajibu tuliowapeni. Mmeshakula "Advance" kamalizieni kazi.

Tundu Lisu anagonga meza ili Chadema waone yupo kazini, hana hoja mahususi.
Ni sawa wameshafanya makosa kwa kutoka kwao na wameshagundua waliyoyapanga hayakufanikiwa, ni vema wakarudi tu wala wasione aibu, kuteleza siyo kuanguka.

Sema: wewe Mwananchi. Huwez kuwasemaea wenzio!
 
kuna haja ya kupima uwezo wa kufikiri wa wanalumumba! mnasifia hata ujinga

ujinga ni upi kama siyo kugonga meza ili mteja wako akuone upo kazini hata kama umeshindwa kazi
 
Hamjaona wewe na nani? UKAWA wameweka point zao mezani ebu na nyie wekeni zenu tuone isije kuwa hoja nyepesi kama za Wasira jana na Mwigulu jmosi.
 
Maana kama hujui na mpaka leo hujaelewa hoja zilizowatoa Ukawa nje ya Bunge nibora upelekwe IMTU ukawe specimen yao ya kidaktari

haya bhana! Umeishiwa maneno unaanza mapofu ya taarabu
 
Wassira jembe, kawagaragaza raisi wa Cuf, na mwanasheria wa Cdm. Mwanzo mwisho wamepwaya kwenye buti la Wassira

Dah, pamoja na mikwara na vitisho vya sura na umbo la tyson jana nilimwonea huruma sana, na kweli mdahalo usingeisha mda ule mengine yangesimuliwa juu ya babu yule
 
Kama Ni Ushabiki Huu Sasa Umezidi, Hiv Hukuona Jitu La Kale Lilivyozomewa Na Kuweweseka?? Acha Kutumika

kuzomewa ni jadi ya ukawa hata huku mjini ndo kazi yao kuzomea na kutukana. Ukawa wanaweza kutengeneza katiba ya matusi tu.
 
Mabilioni yametumika kutafuta maoni ya wananchi.

Sasa mbona mnakuwa vipofu kusigina maoni ya wananchi?

MWENYE HAKI UKAWA anatambulika vyema kubeba bendera ya wazalendo.

na bendera ni wewe mfuata upepo usioujua!
 
Ukiwa na ufahamu wa kutosha ndani ya ccm huwezi kusema jana wassira alifanikiwa kwenye ule Mdahalo zaidi ya kupanic na kupiga siasa wakati wenzake walikuwa wanachambua kisayansi na kukonkuludi fakti tupu!

Tunasikia watu wanasema ukawa rudini bungeni, hatusikii watu kama viongozi wa dini wakiwambia ccm na nyie rudini kwenye moyo wa rasimu ambayo ni serikali 3 sasa kama hili halitafanyika ukawa hakuna kurudi bungeni kwenda kura pesa na katiba isipatikane.

usijizeeshe kama kile kibabu chenu kikikasirika usiku kinaandamana kuzunguka kitanda. Kama ulifuatilia mdahalo ukaweka ushabiki pembeni, utakuwa umeelewa mengi kupitia viongoz wote ila ukawa hawakuwa na main points walikuwa wamejiandaa sana na weak points!
 
Hamjaona wewe na nani? UKAWA wameweka point zao mezani ebu na nyie wekeni zenu tuone isije kuwa hoja nyepesi kama za Wasira jana na Mwigulu jmosi.

Lipumba alikuwa na file lake ameliandika "SIRI" kwa makapen ndo alikuwa anatishia nalo watu! Hahahaha..
 
usijizeeshe kama kile kibabu chenu kikikasirika usiku kinaandamana kuzunguka kitanda. Kama ulifuatilia mdahalo ukaweka ushabiki pembeni, utakuwa umeelewa mengi kupitia viongoz wote ila ukawa hawakuwa na main points walikuwa wamejiandaa sana na weak points!

Sawa umeshinda. Sijui kubishana
 
Dah, pamoja na mikwara na vitisho vya sura na umbo la tyson jana nilimwonea huruma sana, na kweli mdahalo usingeisha mda ule mengine yangesimuliwa juu ya babu yule

vitisho vya makombakt au?
 
Mnataka ukawa waende bungeni kujadili mambo ya CCM?, in maana ndani ya ccm hakuma vichwa?, mleta maada jibu swali langu
 
wakajadili rasimu ya katiba waache woga, wala wasione aibu wakirudi hawatazomewa. Wamekula nguruwe kwa siku 60, mkia wamemwachia nani?
 
Back
Top Bottom