meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
- Thread starter
-
- #41
Unapotaka nilinganishe uhalifu wa tanzania na south africa, nikishalinganisha inasaidia nini..? Nani kakwambia kwamba kipimo cha uhalifu wa tanzania ni south africa kwa nini isiwe congo, rwanda, uganda nk..!? Au kwani south kukiwa na uhalifu mkubwa inakuwa ni haki tanzania kuwa na uhalifu..?
vijana wa ccm mjifunze kusoma makala na vitu mbali mbali, mnazorotesha nchi kuwa na vijana wenye ufahamu mdogo
kipindu pindu ni kati ya magonjwa yanayoonesha ni kiasi gani nchi ina umaskini, kwasababu mara nyingi husababishwa na huduma mbovu za jamii ikiwepo
1.makazi
2.upatikanaji wa maji safi na salama
3.usafi wa mazingira(uzoaji wa taka taka)
4.mipango miji mibovu
5.high population density in the cities(watu kukimbilia mjini kusaka maisha bora)
6.huduma mbovu za afya jamii(public health)
Na nchi nyingi duniani zilitokomeza kipindu pindu mda mrefu sana, kama uk, us tangu miaka ya 1800 huko
so ni indicator jinsi huduma za jamii zilivyombovu under ccm na hayo ndo mambo ya kuongea na muache kumsingizia mtu mmoja ndo ksasababisha, maana sasa kila kitu lowasa ndo kasababisha
fisadi aonyeshwe kuwa uraisi haujaribiwi, ni kumtosa tuuu fisadi lowasa
Wewe ni mkongwe humu tulia uje na hoja.
Hii ni Chadema au CCM,CUF na NCCR ndani ya Chadema.unaanzia wapi kubebesha mzigo wa kuongoza watanzania na kuwakwamua kutoka lindi la umasikini kwa Genge lenye wanaopigania maslahi tofautitofauti bila uongozi thabiti.
Lipumba na Slaa hawapo na walikuwa japo viongozi ambao wangeweza kulituliza genge hilo.
Hebu njoo kama Chadema asilia na sio mfuata mkumbo au maslahi.
Mimi sipendi unafki na ushabikiKwahiyo dr mo lowassa na timu yake kwa akili na imani yk akiwa rais ndo atabadilisha hayo usemayo?alikuwa waziri mkuu na ameshika nyadhifa nyingi sana serikalini,ni lini alikemea au kubadilisha hayo usemayo?kuwa mkweli acha blah blah
Umebakia kuangalia spellings wakati hiyo siyo ishu... Jadili hoja
Mkuu wewe ni mzalendo ...Chadema kamwe hawato weza kupewa nchi hii...
fulsa=typing erro.
Ujinga kilamtu anao kasoro wewe tu hauna ujinga ni upumbavu ndo umekujaa.
Unge rekebisha unge pungukiwa nini?
Ndo tatizo la vijana wa ccm hata current affairs hamfuatilii .Tatizo unataka kuingiza utaalamu katika Afya na siasa.
Malaria kama ilivyo kipindupindu ni ugonjwa uliosumbua sana nchi masikini lakini ndani ya miaka mitano iliyopita Malaria imepungua na kupunguza vifo kwa zaidi ya 50%.
Ukimwi vile vile umepungua kutoka 8% ?mpaka 5% katika kipindi hicho hicho.
Magonjwa ya kuhara na vifo vitokanavyo vimeanza kupungua yameanza kupungua katika kipindi hiki cha miaka mitano.
Point yangu hapa ni Unailaumu system hiyo hiyo ambayo imefanya mazuri mengi isipokuwa katika kipindupindu tena kinachotokea Uswahilini tu.
Kuhusu uhalifu ...nilikuwa nakushangaa tu ulivyomention issue ya mtu kuchomwa kisu kwenye basi...na wewe ndio inakuwa ni sababu ya kuikataa ccm na kutaka kuwapa Genge la wahuni.
Ngoja tuliingize hili genge la wahuni ikulu tuliweke pembeni genge la vibakaElewa mada mkuu.
Haijalishi maslahi mapana ya Nchi ni yapi mada hapa ni Genge la wahuni ambalo ni hatari kwa utekelezaji na usimamizi wa hayo unayoyataka.
Usipanic maana ulivyopanic ntakuwa nimekuzidi na unategemea " urahisi" wa maisha kama ccm ikibaki kutawala, maana nina ukakika wa kijana aliyepigania maisha yake mwenyewe na ambae hajabebwa kwenye maisha na hategemei kubebwa hawezi kuipigania na kuishngilia ccm hilo nina asilimi zillions. Unapreach uongo hapa kama kawaida yenu na kuniita nyumbu lakini hauko hivyo, so usipanic mimi nawaelewa vizuri sana.Dr mo ubavu wa kunizidi mm kwa chochote kile huna si
1.Elimu
2.Kipato
3.Uelewa
4.Mengineyo mengi
Km unafikiri au unaamini lowassa na genge lake watabadilisha maisha yako na hao wengine wenye akili za nyumbu km zako unajidanganya ndg,mwanasiasa hawezi badilisha maisha yk au mtu mwingine yyt yule,fanya kz kwa bidii na maarifa,fursa bado zipo nyingi sana ktk nchi yetu,inahitajika kujituma na kujitoa sadaka na kujinyima ili upate maisha bora,si ccm wala ukawa itabadilisha maisha yk,na hakuna anayewadharau ila unapotaka kufanya jambo fulani tafakari kwa kina hlf ufanye maamuzi sahihi.
Usishabikie jambo kwa mihemko au kwa kufata mkumbo
Elewa mada mkuu.
Haijalishi maslahi mapana ya Nchi ni yapi mada hapa ni Genge la wahuni ambalo ni hatari kwa utekelezaji na usimamizi wa hayo unayoyataka.
Ndg meningitis,kwa taarifa tu ni kuwa lowassa na wafuasi wake wote wapo kila kona hasa kwenye tasnia nzm ya hbr,blogs,forums mbalimbali na vyombo vyote vya hbr vimetekwa na huyu ndg,lengo kuu ni kumsafisha na kupinga kila lisemwalo hasa likiwa nje au linapopingana na ndg lowassa na wengi wao ni hayo makundi uliyoyasema wao wapo tayari kwa lolote alimradi lowassa apate madaraka kivyovyote vile.
Suala la uadilifu ktk uongozi kwao its not an issue anymore,wanataka Mabadiliko no matter what,hivyo kuelezea udhaifu na shortfalls za cdm na ukawa na ni kupoteza muda na utapingwa sana,imani yao ni kuwa lowassa akiingia madarakani maisha yao yatabadilika kwasababu wengi wao wako hoi na wana tamaa ya maisha makubwa,wanaamini lowassa atabadili maisha yao kutoka ktk shida walizo nazo na kuwa matajiri,kiufupi wengi wao wana akili za nyumbu hivyo ht usemaje ni kz bure unapoteza muda wako
Ndo tatizo la vijana wa ccm hata current affairs hamfuatilii .
Siasa inachagua viongozi ambao wanakuja kupanga policies mbali mbali za afya. Magufuli ni mwanasiasa lakini alikuwa anaongelea afya" kwa kusema madk na manesi wanaiba dawa" na ccm haijawahi kukamata hata mmoja" so haya mambo ya kusema usichanganye siasa na afya, siasa na dini hayana nafasi sana ni mawazo ya kizamani..
mimi nimeongelea kipindupindu wewe unanitajia HIV na malari na kuja na statistics za kikwete na mama salma..
hautwezi keelewana na hukunielewa..!? All in all tuache kudanganyana ccm imeshidwa sana kwa miaka 54 na bahati mbaya sana walitaka watu waamini mtu mmoja ndo lachangia asilimia 99.99 kushidwa kwao, yaani lowasa ndo kasababisha yote lakini watu wamebadilika and it's too late for them.