...kipindi cha nyuma almost matatizo yetu yote tulimbebesha Kagame....niambieni nini mchango wa Kagame kwa mgogoro uliopo wa madai ya ukawa?
wewe mbona hueleweki! What is your point?
siku nyingine ukinywa viroba ukala na kande za moto kaa mbali na keyboard.
hebu tukumbushe vizuri ni matatizo gani hayo tuliyombebesha kagame? maji? umeme? barabara? afya? what exactly? Mbona sioni connection yoyote ya kagame na ukawa where did you get that?
what so special with Namibia?Mbona mnatuchefua...!!!!!???? By da way who is PaKa? We unapenda kumtaja taja hapa..... Watu tunakesha kufikiria on how can we be like Namibia or Botswana...... we unaleta issue za ajabu ajabu.....
mimi nimemuelewa mtoa mada,kipindi cha nyuma kidogo habari nyingi zilikuwa za kumuhusu kagame na tulimuelekezea shutuma nyingi kuhusu matatizo yetu ni kama yeye anasababisha.
mtoa mada anashukuru ujio wa UKAWA hatimaye kagame atapumua sasa umu ndani.
matatizo ya nchi hii yanaletwa na kusababishwa na watanzania wenyewe wala si kiongozi wa nje kutoka Afrika

wanajifanya kutokuelewa wakati wanaelewa -kiburi tuu....wambie bana