..watu mnauliza maswali ya kijinga sana sana,watz ni watu wavivu sana sana,mie nachoka na aina hii watu...ukawa ni ushirikiano wa vyama hivyo utaona jina la mgombea wa nafasi ya m/kiti yule aliye kubaliwa uenda kupitia cuf,nld,nccr au chadema,then wajumbe wanaweza kuchanganya so wewe chagua tu wagombea wa ukawa na wale wa ccm usideal nao wala kupiga mkasi/kosa.....si mnajua kupiga kura jamani,lakini wengi wenu hasa dar zii hamjajiandikishaTunaomba mtusaidie tuwaambie ndugu zetu ili wasibabaike siku ya kupiga kura uchaguzi wa mitaa ..Iko hivi,mmeungana sawa lakini watu wanauliza inamaana hata kwenye makaratasi ya kura vitaonekana vyama vyote vya ukawa ama kitakuwepo chama kimoja na mgombea mliyempitisha kama wa cuf ama cdm? mmeliwekaje hili ili tujue mapema siku tunaenda tusianze kuhangaika
..watu mnauliza maswali ya kijinga sana sana,watz ni watu wavivu sana sana,mie nachoka na aina hii watu...ukawa ni ushirikiano wa vyama hivyo utaona jina la mgombea wa nafasi ya m/kiti yule aliye kubaliwa uenda kupitia cuf,nld,nccr au chadema,then wajumbe wanaweza kuchanganya so wewe chagua tu wagombea wa ukawa na wale wa ccm usideal nao wala kupiga mkasi/kosa.....si mnajua kupiga kura jamani,lakini wengi wenu hasa dar zii hamjajiandikisha
Ungekuwa unachoka usingeandika maneno yote hayo ambayo si ya msaada ungeenda direct kwenye point
True ..huwezi kuchoka kuelimisha watu kama unania ya dhati ya mabadiliko! !
..watu mnauliza maswali ya kijinga sana sana,watz ni watu wavivu sana sana,mie nachoka na aina hii watu...ukawa ni ushirikiano wa vyama hivyo utaona jina la mgombea wa nafasi ya m/kiti yule aliye kubaliwa uenda kupitia cuf,nld,nccr
Tunaomba mtusaidie tuwaambie ndugu zetu ili wasibabaike siku ya kupiga kura uchaguzi wa mitaa ..Iko hivi, mmeungana sawa lakini watu wanauliza inamaana hata kwenye makaratasi ya kura vitaonekana vyama vyote vya ukawa ama kitakuwepo chama kimoja na mgombea mliyempitisha kama wa CUF ama CHADEMA ? i
Mmeliwekaje hili ili tujue mapema siku tunaenda tusianze kuhangaika.
..watu mnauliza maswali ya kijinga sana sana,watz ni watu wavivu sana sana,mie nachoka na aina hii watu...ukawa ni ushirikiano wa vyama hivyo utaona jina la mgombea wa nafasi ya m/kiti yule aliye kubaliwa uenda kupitia cuf,nld,nccr au chadema,then wajumbe wanaweza kuchanganya so wewe chagua tu wagombea wa ukawa na wale wa ccm usideal nao wala kupiga mkasi/kosa.....si mnajua kupiga kura jamani,lakini wengi wenu hasa dar zii hamjajiandikisha
..watu mnauliza maswali ya kijinga sana sana,watz ni watu wavivu sana sana,mie nachoka na aina hii watu...ukawa ni ushirikiano wa vyama hivyo utaona jina la mgombea wa nafasi ya m/kiti yule aliye kubaliwa uenda kupitia cuf,nld,nccr au chadema,then wajumbe wanaweza kuchanganya so wewe chagua tu wagombea wa ukawa na wale wa ccm usideal nao wala kupiga mkasi/kosa.....si mnajua kupiga kura jamani,lakini wengi wenu hasa dar zii hamjajiandikisha
..watu mnauliza maswali ya kijinga sana sana,watz ni watu wavivu sana sana,mie nachoka na aina hii watu...ukawa ni ushirikiano wa vyama hivyo utaona jina la mgombea wa nafasi ya m/kiti yule aliye kubaliwa uenda kupitia cuf,nld,nccr au chadema,then wajumbe wanaweza kuchanganya so wewe chagua tu wagombea wa ukawa na wale wa ccm usideal nao wala kupiga mkasi/kosa.....si mnajua kupiga kura jamani,lakini wengi wenu hasa dar zii hamjajiandikisha
Aah! Nakuona mzee wa Jamii photos. Kumbe hadi mtaa huu unahudhuria!Wapi Mzee TUPA TUPA
Very right. Kuna baadhi ya comments kama hizi ''hili nalo tumsubiri msemaje wa UKAWA'', or ''UKAWA mpo wapi mjibu?'' etc etc zinashangaza sana. Bado safari ni ndefu sana aisee...
Unamapungufu makubwa sana kuliko yule aliyetaka kupata ufafanuzi. Kajipange upya huna msaada wowote hapa.
UKAWA sio chama cha siasa, na hakina ''haki'' ya kusimamisha mgombea sehemu yeyote. Mwanangu wa Darasa la Tano analifahamu hili vizuri sana.